Hii ya Marando inasemekana ni uzushi, Tumaini Makene ametoa taarifa kupitia wall yake ya fesibuku.
Sixgates umenichekesha sana asb hii ati nyuzi joto 26 duu Yerricko kwa mipasho kiboko! Mi nilimuuliza swali hivi Yerricko unamchukia ZZK kwa haya mnayomtuhumu au kuna lingine hajajibu akaingia mitini!
Maana sasa Kama Nswima Ernest wa RTD ya zamani....ya kwake Musoma yamemshinda kabisa huyu kijana! Hizi siasa tu ndugu yangu kuna maisha zaidi ya siasa
Wachaga wanaushawishi gani sio unaongea tu kufurahisha nafsi?
kaka nangu nguvele mbali kidogo na kunewala ngu-pm tumalane somo, nguvele mkoa wa kuluuma
sasa warushe live wapi??? labda kwenye tanzania daimawakirusha live ntafurahi sana kupata fresh news
Hapo ni kelele tu hakuna kingine,kesi ya msingi iko mahakamani inaendelea kesho!!
wakuu inafaa tamko litolewe na ben saanane na yeriko nyerere hii misukule mbowe ya mbowe kwenye ishu za kuuza sura kwenye tv na magazeti inapotezewa sana. yenyewe kazi yao ni nyuma ya keyboard tu. tunataka tuione mana wengine hatuwajui kabisa
sasa warushe live wapi??? labda kwenye tanzania daima
kuanza kuongelea masuala ya ukanda na ukabila ni kushindwa kutoa ushawishi wako katika hoja ya msingiWangekuwa hawana Ushawishi Msingekuwa mnakesha hapa JF kuwasema.Sidhani kuna mtu anaweza kuongelea habari za Wakwere,Wazaramo,waha na Makabila ya aina hiyo maana hayafahamiki kwa Watanzania walio wengi.
Ha ha haa leo amekuwa Marando sio Zitto tena nawahurumia sana B7 kwa jinsi mnavyohangaika na maiti mgongoni.Marando hawezi kutoka hadi kazi aliyotumwa aimalize! So far so good anafanya kazi vizuri! Ameweza kukijenga ndani ya chama na anaaminiwa sana!
Huyu atakuwa wa mwisho kuondoka na tayari CDM kitakuwa hakipo! Kazi nzuri Marando keep it up!
Ushawishi wa ujambazi,utapeli na ukabilaWachaga wanaushawishi gani sio unaongea tu kufurahisha nafsi?
Mkuu Yericko Nyerere na Ben Saanane ni taasisi ina katiba inaa na ofisi, inapokea ruzuku kutoka ufipa, walikuwa na nguzvu kumzid makamu mwenyekiti mzee Arfi. Juzi hii taasisi nimeiona pale mahakamani ikabidi nikae kando..
Hii antivirus software ya CDM ya sasa kiboko, hata Kaspersky haioni ndani... Zitto et al tupa kule...
labda supersport 3 ya arusha.super sport 3 inarusha.
Acha kusoma magazeti ya Udaku.Punguza hasira
Mkuu unajua unaweza kuepuka madhara yatokanayo na wivu ,hofu na chuki kwa kutosoma post zake?Maana kinyume na hapo utaendelea kupata "madhara yasiyotibika"(using Albert Msando's tone!)
Ha ha haa leo amekuwa Marando sio Zitto tena nawahurumia sana B7 kwa jinsi mnavyohangaika na maiti mgongoni.
Na mwenu mushangilia chama cha kaskazini?mnaputwe jamani,acheni chama kivena ukabila