GJHariohay
JF-Expert Member
- Oct 24, 2013
- 1,041
- 1,161
Misukule ya SLAA NA MBOWE ione inavyohangaika. Mtakoma mwaka huunwa 2014, lazima mwishoni kabisa mtaambiwa mkapike majumbanu mwao. Ma-house maid bwana, wanakazi kweli ya kujikomba kwa mabwana zao
gongo na viroba pia vimeandaliwa??
Acha kudanganya watu wewe,leo J2 Nyerere road nyeupe hayo masaa 4 uko kwenu...Watu kwa majidai,huyu mkuu anataka kujionyesha tu kuwa nae fedha zimemtembele wakati anadaiwa madeni ya fedha aliyokopa kwa ajili ya sikukuu za x-mass na mwaka mpya.. Kwa foleni ya Dar utoke sasa mwanza na fastjet utumie saa moja na nusu na kutoka Airport mpaka kwenye kikao ni takribani masaa 4. Majidai mengine bwana !!.
ngumayela na nangu somo, dachi chipweng'e chinipawa?
Kitila na mwigamba wameshavuliwa uanachama. Marando amerudisha kadi
Ndio tatizo la wachaga wanaamini wao ndio kila kitu
Mmebakisha bla bla tu mara meza mara gongo,Ndugu yangu Chinga One ametokomea kupanga meza unajua ndugu yangu yupo kiukereketwa zaidi maana decision makers wote ni toka Kaskazini! Mmakonde na chadema wapi na wapi?
Lazima atakuwa mbeba Viti
Yerricko Nyerere Leo Dar nyuzi joto ngapi? Mbona hutujuzi maana wengine tupo Shelui Huku vijijini
Kitila na mwigamba wameshavuliwa uanachama. Marando amerudisha kadi
Lina lya pachoto ni
kunewala... Uchi dachi nnung'unwangu? Habari ja kwachi? Angaa Chilindima
vanipwawa? Avee na mmutuka tangu libus lya NDF
Wachaga wanaushawishi gani sio unaongea tu kufurahisha nafsi?Afrika yote kuna Makabila Makubwa na yenye Nguvu na Ushawishi.Kwa Tanzania Wachaga ni Miongoni mwao.Kenya utawakuta Wakikuyu,Uganda-wabaganda,Rwanda-Watutsi,Afrika kusini-Wazulu,Nigeria-Waibo n.k.Wewe kama ni Miongoni mwa Makabila mnayokimbizana na Mdundiko usiwaonee wivu wenzako.
Yerricko ni zaidi ya kichaa! Watu wote wa Musoma wanegundua Hilo! Kiboko ya Yerricko ni Nyamuhanga alikuwa campaign manager wake alichomfanyia Mungu anajua!Juzi alinichekesha kweli ndio nikajua wasomi wetu wengi hawana tofauti kubwa na yule msomi wa Orijino Komedi "Le Profeseri" wamekaa kitahira tahira wanpelekeshwa tu eti anataja nyuzi joto alipokuwa mahakamani sasa sijui ilikuwa inahusu nini pale?
Mkuu unajua unaweza kuepuka madhara yatokanayo na wivu ,hofu na chuki kwa kutosoma post zake?Maana kinyume na hapo utaendelea kupata "madhara yasiyotibika"(using Albert Msando's tone!)
wakuu inafaa tamko litolewe na ben saanane na yeriko nyerere hii misukule mbowe ya mbowe kwenye ishu za kuuza sura kwenye tv na magazeti inapotezewa sana. yenyewe kazi yao ni nyuma ya keyboard tu. tunataka tuione mana wengine hatuwajui kabisa
mbona muda unakwenda tu hamna updates.au makamanda bado wako kanisani