Press Conference - CHADEMA HQ

Status
Not open for further replies.

Mkuu unajua unaweza kuepuka madhara yatokanayo na wivu ,hofu na chuki kwa kutosoma post zake?Maana kinyume na hapo utaendelea kupata "madhara yasiyotibika"(using Albert Msando's tone!)
 
Last edited by a moderator:

Sixgates umenichekesha sana asb hii ati nyuzi joto 26 duu Yerricko kwa mipasho kiboko! Mi nilimuuliza swali hivi Yerricko unamchukia ZZK kwa haya mnayomtuhumu au kuna lingine hajajibu akaingia mitini!

Maana sasa Kama Nswima Ernest wa RTD ya zamani....ya kwake Musoma yamemshinda kabisa huyu kijana! Hizi siasa tu ndugu yangu kuna maisha zaidi ya siasa
 
Last edited by a moderator:
Kwani Musoma ni kata ya Iringa vijijini? huyu jamaa amelipenda tu jina la Nyerere si mtoto wa mwalimu.
Yanatuhusu nini hayo? Hata wewe unaweza kujiita Mrs. Nape..
 
mtei amechukia sana zito kuweka pingamizi.zito akishinda kesi lisu anatimuliwa chamani
 

Waambie wajiunge hata na PPT-MAENDELEO kama Lengo ni kuiondoa CCM Madarakani.Vyama vipo vingi na wenye Sifa wapo wengi sio lazima CDM tu.Cha Msingi Ajenda kuu iwe kuiondoa CCM ili tuweze kupata Maendeleo endelevu.
 
Wewe unasali na huku macho yako jf, kweli IMANI hakuna siku hizi MUNGU tuhurumie waja wako.

Wewe endelea kuchukulia kila kitu unachosoma jf literally. Wenye sense of humor na uelewa wanafaham kuwa haijawahi tokea mtu akatumia simu kanisani, hasa haya ya katoliki.
 
Mt Kilimanjaro huna lolote ati una board kwenda wapi? Daladala toka Kimara kwa wachaga hadi mtaa wa ufipa? Nimecheka sana asb hii!

Haya board ndugu yangu Kimara kinondoni

hivi wachaga walikukosea nini?maendeleo au usomi wao!!
 
mtei amechukia sana zito kuweka pingamizi.zito akishinda kesi lisu anatimuliwa chamani

Hujui unachoongea ni bora ukae kimya tu...sioni connection ya vitu unavyooandika hapa
 
mtei amechukia sana zito kuweka pingamizi.zito akishinda kesi lisu anatimuliwa chamani

tunajua zitto kapeleka pingamizi mahakamani kwa ushauri na msaada wa ccm na judge ata-rule in his favor lakini lazima afungishwe virago,ikulu imeshaingilia kesi.
 
tunawasubiria mkuu kwa,updates yanayojiri huko

Ndugu yangu Chinga One ametokomea kupanga meza unajua ndugu yangu yupo kiukereketwa zaidi maana decision makers wote ni toka Kaskazini! Mmakonde na chadema wapi na wapi?

Lazima atakuwa mbeba Viti
 
Hapa watu wako kwa mipasho tu na kupunzikiana wengine wanashindwa kuficha hisia zao zilizojaa chuki na wivu .....majungu full.
 
Zitto na puppets wake walifikiri utani sasa akili ndio zinaanza kuwarudi.

Ameona Mikutano haiwezi kumwokoa sasa kakimbilia Mahakamani lakini napo hapatatosha.Siku zake zinahesabika.
 
Focus ya cdm bado sijaielewa sana,I wish nifanye case study
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…