Mtokambali
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 222
- 99
- Thread starter
- #21
Walisema wiki hii watapiga simu ku short list. Kuna mtu amepigiwa?
Yaani we acha tu. Uvumilivu unahitajika.....bado wanapembua majina!
Walisema wiki hii watapiga simu ku short list. Kuna mtu amepigiwa?
mkuu recruitment process ilishamalizika na kufungwa watu wapo kazini tayari kwa nafasi za directors na managersmbona hapa kimya?...au wote hapo juu ndio mlishapata ajira.......leteni feedback!....eboo..lol!
mkuu recruitment process ilishamalizika na kufungwa watu wapo kazini tayari kwa nafasi za directors na managers
mkuu recruitment process ilishamalizika na kufungwa watu wapo kazini tayari kwa nafasi za directors na managers
ebwana ni kweli wameita na watu wameanza kazi? Mbona wengine bado twaweit matokeo ya interviews?
jua kuwa zile za idara ya kilimo/section ya kilimo hawakupata watu wanaofaa hivyo wamewapatia un kuzitanganza global..mishahara mameneja wanaanza na dolla elfu saba kwenda juu kutegemea na experience.kwa taarifa zaida angalia www.jobs.undp.org