FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,820
Namba gani?
CCM mbele kwa mbele.
Namba gani?
Kamwulize mkewe.
Wewe si ndiyo mshenga wake.
CCM mbele kwa mbele.
Maana yake ndo nini?
Mimi siyo mshenga wake.
Acha kunizulia mambo.
Utaisoma namba.
Nikuzulie nini
na mpaka leo alivyobwagwa na Magufuli roho inakuuma.
Umeanza kijiba cha roho kwa Rais wetu mpendwa?
namba 666CCM mbele kwa mbele.
Umeanza kijiba cha roho kwa Rais wetu mpendwa?
Mr. Chin ujalamba cheo?... Manake ulifanya kazi ya kutuma picha kwa kufuru