President Magufuli's next stop...

President Magufuli's next stop...

Mr Chin

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
4,625
Reaction score
1,024
[h=3][/h]
12188903_1006645912730813_2957576553680565983_n.jpg
 
Mr. Chin ujalamba cheo?... Manake ulifanya kazi ya kutuma picha kwa kufuru
 
Mr. Chin unastahili sifa, uliwatia mfukoni wote waliokuwa wanajidai wana kampeni za ukawa humu JF.

Sasa hivi wakikuona wote heshima mbele.

#HapaKaziTu
 
Pepsi ishaishiwa gesi hiyo.

Kavamia sehemu mbili tu kacheua.
 
Na kapewa doc. leo ya page 53 ya nini cha kufanya. Eti wanakabidhiana ofisi.

Upuuzi mtupu.

Siku zote hizi walikuwa hawajakabidhiana?

Kuna nini cha kukabidhiana zaidi za huyo wa zamani kukusanya mavitu yake na kuondoka?
 
Hahahaa...but seriously, jana na leo amevamia wapi?

Labda media walichelewa kwenda....
hivi nani huwa anawapa taarifa media kuwa kuna ziara ya kushtukiza?
au wanaenda kusubiri Ikulu siku nzima?
 
Pepsi ishaishiwa gesi hiyo.

Kavamia sehemu mbili tu kacheua.

Lakini bado pepsi inanyweka fresh kabisa na kukata kiu, nikuulize BALOON la Lowassa lililopasukia juu angani liko wapi?

Huyu msukuma hata usipompenda, ndo rais wako,
JUST KNEEL DOWN AND KISS THE MOTHER-EFFING RING, your King is here!
 
Upuuzi mtupu.

Siku zote hizi walikuwa hawajakabidhiana?

Kuna nini cha kukabidhiana zaidi za huyo wa zamani kukusanya mavitu yake na kuondoka?

Mkwere alisahau makabrasha yake hivyo alikuja kuyachukua kwa gear ya kukabidhi ofisi.
 
Labda media walichelewa kwenda....
hivi nani huwa anawapa taarifa media kuwa kuna ziara ya kushtukiza?
au wanaenda kusubiri Ikulu siku nzima?

Good question. Labdz huwa ni waandishi wa habari ambao huambatana na rais popote aendako......
 
Labda media walichelewa kwenda....
hivi nani huwa anawapa taarifa media kuwa kuna ziara ya kushtukiza?
au wanaenda kusubiri Ikulu siku nzima?
Ungejaribu kidogo kuwa objective ukajiuliza na swali kama hili;
Je wale waliokuwa walengwa wa kushtukizwa walikuwa na hiyo taarifa au walionyesha kweli kuwa wameshtukizwa?
 
Back
Top Bottom