Tetesi: President Magufuli a strongman on Earth

Tetesi: President Magufuli a strongman on Earth

Mimi nimemsikiliza hadi nimetamani kumpa bonge la hug jamani.

Ananifurahisha sana na uongozi wake.

Magufuli oyeeeeee


Magufuli 2020.
 
Na katoweka hatokuwepo , dah..

We Tuma ni wakutafutwa😂
 
Ni kumuita mtu dikteta.
Kiranga umebadirika au ndio ushaanza wewe kupitishwa kule kwenye mlango wa kuzimu, kiafrika mwanaume imara ndie anaepewa kipaumbele
 
Wewe kwanza hujui tofauti ya l na r, hujui tofauti ya kubadilika na kubadirika.
Usihamishe maana umeelewa nilichoandika unapiganiwa mlango wa kuzimu hutaki wanaume wawe imara?
 
You are a country bumpkin, I do not feel comfortable talking to you at any level.
Pumpkins? You can reach my level, you ain't on my levels, so buckle up for nonsense you've been doing with me you PSMF
 
Exactly my point.

Hujui Kiswahili, hujui Kiingereza. Nitawasiliana nawe kwa lugha gani?
Kizigua km unakijua twende mpaka kifaransa, nimekuuliza nini unakimbilia nini wewe SIMP
 
Back
Top Bottom