Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,250
- 44,578
- Thread starter
-
- #21
c. Stop the madness ya majibizano ya kisasa kati ya viongozi wa chama chake, viongozi wa dini, na watendaji wa serikali. Something is definitely very wrong.
I'm sorry (actually i'm not) to say this; what is going on right now is pure madness of sort. Hivi hakuna mtu mwenye hekima ndani ya serikali na chama tawala? Yaani, kila mtu anajitokea na kusema lake, na wenyewe wanapingana na kwa kufanya hivyo wanaonesha how weak President Kikwete actually is. It seems to me that he has lost comman of respect or even loyalty within the party and the government.
It as if he has become a ceremonial president - the one who likes ceremonies! Yaani, sijui nani atamuambia ukweli lakini whatever is going on is not good for the country and for his own legacy. There are a number of things that he personally need to take care of:
a. The Arusha Killings of Chadema supporters; he need to show that he actually care and is willing to do everything not to that such an incident doesn't occur again. The first step, meet Chadema leaders for a candid discussion of the political situation in the country. Hali iliyopo sasa haiondoki kwa mikwara na kudharau!
b. He need to stop the payment to Dowans. He is one of the very few people who knows for a fact why Dowans was formed and how he would benefit (kwa binafsi au familia) when the payments are made. He need to show that he in fact care about this. So far yupo yupo tu.

Kikwete toka uchaguzi amewashawishi wananchi kuwa he is the president na akatangaza waziwazi Bungeni kuwa "waenda lakini watarudi" kwani yeye ndiyo Rais. Well, Kuwa Rais siyo jina au tunu ya sifa bali ni kazi ya kikatiba. Sasa basi awe Rais na aoneshe kwanini alizinguka mikoa yote hiyo kuomba nafasi ya pili ya kutawala taifa (sijui kama alitaka kuongoza au kutawala).
Kama ni vigumu for him to give the country courageous leadership at this time basi alitendee taifa hisani ili angalau tuanze na Bilal tuone naye atafanyaje. Act or resign. Kwa sababu mengine hata hayaingii kichwani.
Kabla ya tukio la Arusha, tayali kulikuwa na kutofahamiana miongoni mwao, hivyo basi sio suala la kuwaogopa zaidi ya yeye kutotambulika kwao. Kwa msingi huo hatoweza kukutana nao. Kwa upande mwingine inaonekana wazi kuwa wanasiasa hao wanataka kutumia tukio hilo kama mtaji wao.
why should he stop political bickerings? nadhani haya majibizano sana sana yanajenga, na sioni faida ya ukondoo wa viongozi wa dini na watendaji wa serikali kama enzi za JKN
Mwanakijiji,
Acha hao mawaziri waongee tu, ukweli utasemwa tu. Lazima wasimame tuwahesabu, ikifika siku ya adhabu tutajua ni nani anastahili kuchapwa viboko vingapi. Nina hakika kuna mawaziri na viongozi wengine kadhaa wa serikali hawapendi haya mambo anayofanya JK. Hivyo iko siku na si mbali wataongea wenyewe na wakishindwa tutawalazimisha tu.
Siku hizi umekuwa mshauri wa rais? Huyu sio Lowasa. Jipange upya.
I never thought I would say this, but I actually think Kikwete has been great for Tanzania. Whether by accident or calculated, we should all be thankful. Think about it!!
Kwanza kabisa hata hao mawaziri kuongea ongea nakutofautiana hovyo ni udhaifu wa Waziri Mkuu, aliyemchagua mwenyewe. Hapa kuna walakini. Ninaowaonea huruma ni wale wachapa kazi. I cannot imagine Magufuli, Mwakyembe, Mama Tiba watawezaje kundelea na kazi katika mazingira haya na kwa muda gani