President Kikwete stop this madness please or resign! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

President Kikwete stop this madness please or resign!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mzee Mwanakijiji, Jan 13, 2011.

 1. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #1
  Jan 13, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  I'm sorry (actually i'm not) to say this; what is going on right now is pure madness of sort. Hivi hakuna mtu mwenye hekima ndani ya serikali na chama tawala? Yaani, kila mtu anajitokea na kusema lake, na wenyewe wanapingana na kwa kufanya hivyo wanaonesha how weak President Kikwete actually is. It seems to me that he has lost comman of respect or even loyalty within the party and the government.

  It as if he has become a ceremonial president - the one who likes ceremonies! Yaani, sijui nani atamuambia ukweli lakini whatever is going on is not good for the country and for his own legacy. There are a number of things that he personally need to take care of:

  a. The Arusha Killings of Chadema supporters; he need to show that he actually care and is willing to do everything not to that such an incident doesn't occur again. The first step, meet Chadema leaders for a candid discussion of the political situation in the country. Hali iliyopo sasa haiondoki kwa mikwara na kudharau!

  b. He need to stop the payment to Dowans. He is one of the very few people who knows for a fact why Dowans was formed and how he would benefit (kwa binafsi au familia) when the payments are made. He need to show that he in fact care about this. So far yupo yupo tu.

  c. Stop the madness ya majibizano ya kisasa kati ya viongozi wa chama chake, viongozi wa dini, na watendaji wa serikali. Something is definitely very wrong.

  Kikwete toka uchaguzi amewashawishi wananchi kuwa he is the president na akatangaza waziwazi Bungeni kuwa "waenda lakini watarudi" kwani yeye ndiyo Rais. Well, Kuwa Rais siyo jina au tunu ya sifa bali ni kazi ya kikatiba. Sasa basi awe Rais na aoneshe kwanini alizinguka mikoa yote hiyo kuomba nafasi ya pili ya kutawala taifa (sijui kama alitaka kuongoza au kutawala).
  Kama ni vigumu for him to give the country courageous leadership at this time basi alitendee taifa hisani ili angalau tuanze na Bilal tuone naye atafanyaje. Act or resign. Kwa sababu mengine hata hayaingii kichwani.
   
 2. Ms Judith

  Ms Judith JF-Expert Member

  #2
  Jan 13, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 2,569
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  kwa kweli hata mimi ninapatwa mashaka makubwa sana na uongozi wa taifa letu. sijui kama bado tunayo dira madhubuti. time will tell
   
 3. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #3
  Jan 13, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Hiyo ndiyo taabu ya uongozi wa kununua!!!!!!!!!! Ila mkuu wetu leadership ina walakini tena sio kidogo! This was the time to stand up na kuonyesha msimamo na vision. Lakini pia inaonyesha huyu jamaa hawezi kabisa kulead during crisis.
   
 4. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #4
  Jan 13, 2011
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,635
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Kwa ufupi hawezi kukutana nao.
   
 5. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #5
  Jan 13, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  anaogopa au hawezi? Maana Rais anapokuwa hawezi kukutana na section ya wananchi wake ambao aliwatambia kuwa bado ni "rais wao" nina wasiwasi na dhana nzima ya uwezo wake.
   
 6. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #6
  Jan 13, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  And that is because he's not a leader, ni mwoga na populist period.
   
 7. Pakawa

  Pakawa JF-Expert Member

  #7
  Jan 13, 2011
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,719
  Likes Received: 3,132
  Trophy Points: 280
  Hajamaliza kula mbuzi jamani akimaliza atatinga jukwaani kueleza kile kilichopo moyoni mwake teh teh... ana nini cha kupoteza labda anasema shauri yenu chinjaneni kama kuku mimi nimeshaula miaka mitano nabembea kama nalia. Huyo ndiyo rais wa wadanganyika. Mkulu time will tell kama ni kujiuzulu better sooner than later maana huko mbele ni kugumu zaidi
   
 8. bluetooth

  bluetooth JF-Expert Member

  #8
  Jan 13, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 3,933
  Likes Received: 670
  Trophy Points: 280

  mkuu.... this chap is traumatized...
   
 9. Bantugbro

  Bantugbro JF-Expert Member

  #9
  Jan 13, 2011
  Joined: Feb 22, 2009
  Messages: 2,684
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  It is shame on someone who cannot effectively rule a relatively peaceful and resource-rich country like Tanganyika...:frog:
   
 10. theophilius

  theophilius Senior Member

  #10
  Jan 13, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 151
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  japo sitajuta hata siku moja kuzaliwa Mtanzania, naona aibu kuongozwa na aina ya baadhi ya viongozi wanaotuongoza sasa, kwa matendo na fikra zao. hata hivyo sijakata tamaa natumaini Rais wetu anao wajibu wa kurekebisha mambo hata kama haikuwa dhamira yake, ni wajibu sasa kuhakikisha anajiokoa na kuwaokoa wenzake na mkono wa sheria pale watakapostaafu, maana kwa jinsi mambo yanavyokwenda si ajabu siku moja baadhi yao wakafikishwa mahakamani kama katika baadhi ya nchi za wanzetu wanavyofanya! masuala ya mauaji ya raia wasiokuwa na hatia, uzembe na wizi wa waziwazi kama huu wa richmond/dowans yanaweza yasiwahakikishie salama siku zijazo baadhi ya viongozi wetu wa leo
   
 11. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #11
  Jan 13, 2011
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  cause he wont be having anything to say! the only place you get him to talk his mind ni kwenye hafla na tafrija
   
 12. Mag3

  Mag3 JF-Expert Member

  #12
  Jan 13, 2011
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 9,094
  Likes Received: 6,188
  Trophy Points: 280
  It is like Kikwete is in a trance and his ability to function voluntarily appears lost or could it be we are missing something here ? My God, the word voluntarily suddenly starts me thinking, is Kikwete really in control ? Are there some external forces pulling the strings ? Every evidence points to the fact that there is very little chance of him completing his second term in office, so what prompted him to seek a second term in the first place ? If I remember well he collapsed at the podium on the very first day of the campaign and this I think should have been a signal for him to step back, but no way he kept going or was he ? Something was propelling him to the extent of involving his whole family and vowing to win the presidency by hook or crook. It was as if winning meant everything for him, his family (and whoever) and that losing couldnt have been tolerated, question is by whom ? Kikwete, stop putting our beloved country at ransom, resign and save our country from humiliation at the hands criminals and gold diggers.
   
 13. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #13
  Jan 13, 2011
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,635
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Kabla ya tukio la Arusha, tayali kulikuwa na kutofahamiana miongoni mwao, hivyo basi sio suala la kuwaogopa zaidi ya yeye kutotambulika kwao. Kwa msingi huo hatoweza kukutana nao. Kwa upande mwingine inaonekana wazi kuwa wanasiasa hao wanataka kutumia tukio hilo kama mtaji wao.
   
 14. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #14
  Jan 13, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Yaani nnachokiona kwa JK ni kwamba possibly huko nyuma aliwahi kushauriwa au kupractice ukimya kwenye mambo mazito na kwa mtazamo wake it worked out. As of now ni kwamba anatumia same solution for different problems. It is not working lakini he can't see!
   
 15. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #15
  Jan 13, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  You lost it again bro! kabla ya tukio la Arusha hakukuwa na mjadala as of recent kuhusu polisi kushambulia waandamanaji kwa silaha za moto. Hakukuwa na matamko tofauti tofauti kutoka mawaziri na wakuu wa chama chenu! Msimamo wa serikali kuhusu kuilipa Dowans ulikuwa bado haujatolewa.
   
 16. M

  MWANALUGALI JF-Expert Member

  #16
  Jan 13, 2011
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 601
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kikwete ametuthibitishia Watanzania mambo ambayo CCM wamekuwa wakiwatuhumu wapinzani
  1. Kwamba yeye na Chama chake wana tamaa na kung'ang'ania madaraka. Kwanza ameshindwa yeye au tume ya uchaguzi iliyomtangaza kuwa mshindi kuthibitisha au kuchapisha matokeo ya uchaguzi mkuu uliomweka madarakani ( bado wanaendelea kuchakachua ). Hana tofauti na Kibaki, Mugabe na Gabgo. Pili Uchaguzi wa Mameya umethibitisha pasipo kuwa na shaka kuwa wana uchoyo wa madaraka.
  2. Kwamba CCM si chama cha kuleta umoja na kutunza amani tena. CCM kwa kutumia majeshi wamemwaga damu na kuua raia wema wasiokuwa na makosa yoyote. Yeye na chama chake wamejiandaa na wanatekeleza kufanya lolote hata kwa kuua ili waendeleze utawala wao wa kifisadi ulioingia madarakani kwa nguvu ya kulazimisha tume iwatangaze kuwa washindi.
  3. Kwamba CCM haina sera. Wangelikuwa na sera za kueleweka, Kikwete asingezunguka nchi nzima akiahidi mambo ya kufanya ambayo hayamo hata kwenye ilani yao ya uchaguzi.
  4. kwamba CCM wamejawa na tamaa ya ruzuku na fedha za kukwapua serikalini kwa kutumia mbinu yoyote. Hawana huruma na uchumi wa taifa letu na kulazimisha Hazina iilipe Dowans ili kufidia fedha walizotumia kwenye uchaguzi mkuu uliopita
   
 17. Z

  ZenaTulivu Senior Member

  #17
  Jan 13, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 137
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Tanzania ni SIMANZI, ni SIMANZI TUPU Tanzania!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  Kuuaua wakulima nao vijijini huko Mbeya nayo ni BAHATI MBAYA tu. Jamani SIMANZI!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 18. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #18
  Jan 13, 2011
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,635
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Kamanda, kabla hujaenda mbali sana, mimi nazungumzia pointi ya kwanza ya MM! naona hapa umeshazijumulisha zote!
   
 19. h

  haogwa Member

  #19
  Jan 13, 2011
  Joined: Jun 18, 2010
  Messages: 18
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 5
  Kikwete is a man of simple mind. He cannot act beyond what he is doing currently. In fact he has reached his upper limit of his wisdom. We should not expect anything more than that. That is all about. He will pretend to be silent, but that is not the reality. The reality is that he cannot visualize beyond this. 'O God help to widen the horizon of our president for the good of the current and future of our country!!' God bless Tanzania.
   
 20. 3D.

  3D. JF-Expert Member

  #20
  Jan 13, 2011
  Joined: Sep 7, 2010
  Messages: 1,022
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kikwete Pentium I.
   
Loading...