TUJITEGEMEE
Platinum Member
- Nov 6, 2010
- 27,610
- 28,676
Ukiona hivyo ujue huko kuna MWALI ANATOKA hivyo TIMU YAKE YA MDUNDIKO inaelekea Italy KUMTOA MWALI. Ila acheze salama NYUZI ZISIJEFUMKA ikawa balaa...
Daah marejesho.. Comment yako imebeba hasira.. maumivu na resignation.. Inauma sana kuangalia genge la majambazi wachache wakibomoa rasilimali ya miaka hamsini ijayo..
Wana endelea kutafuta hela za kupiga. Badala y kuzuia zilizo kwisha patikana yeye anaenda kujitangaza. Kwani hiyo gas huko chini inaisha
Jamaa anaweza kuwa na flying hours nyingi kuliko Captain Mazula rubani mzoefu hapa nchini. Mwenye kujua log book yake inasoma nini atushtue hapa.
Siku zote mdumbua uchumi ni mtu wa movements
Hii ni zaid ya comedy,jamaa anaumwa tena busha lakini anatamani kuzurura,itabidi honi za magari na mavuvuzela yasitishwe wakati anawasili..Daaaah,me nabak kucheka tu,
Professor of rocks very forgetful.Are we key players or are we just spectators in the gas saga. Isn't this the same guy who said we should sell orange juice while we let the big players dish out out gas?
Anastaajabisha sana huyu jamaa, nchi iko katika sakata la wizi mkubwa, hazina hakuna pesa, mahospitalini hakuna madawa, badala ya kurudi kwanza nchini kushughulikia haya anachanja mbuga kuelekea Italy!! Rais kweli hatuna!!