MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 12,695
- 31,478
Mkuu, hao wanaoadhibiwa ni watoto, bado hawana uwezo na uzoefu wa kupambana na mikikiki ya kimaisha. Tuwaoneshe upendo, kama Mungu angekua anatuadhibu kwa style hiyo nani angesimama? Mimba haimfanyi mtu kupoteza utoto wake au utu wake, haki ya elimu ni haki ya kibinadamu na ni haki ya kila mtoto.