President Erdogan wa uturuki na palace lake

President Erdogan wa uturuki na palace lake

Black Sniper

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Posts
35,285
Reaction score
61,267
Ina vyumba elfu moja na imegharimu $615m mpaka sasa na kuna kama $135m itatumika kwenye budget ya 2015, ni kubwa kuliko White House, Kremlin's na hata Versailles ya ufaransa, bado anategemea kununua ndege aina ya Airbus A330-200 kwa thamani ya $185m 1415198322770.jpg1415198355138.jpg1415198381879.jpg
 
Back
Top Bottom