President daughter

President daughter

Mara kuhack system mara ualimu mara chademe mara kutumwa marekani.. story haina ushirikiano asee jipange umejifunzia wapi hacking.? hacker hawez kutumwa kwenye mission hacker anaassist tu kutrack watu.. huangalii hata movie..!!!!
Alafu baada ya kuwachaguliwa huyo mkuu anamuuliza tena kazi utaweza?
 
1. Hiyo ni riwaya au nini?
2. Ni aina gani ya uandishi umetumia ?
ukianza kujudge ivo vitu utafeli m sijasomea uandishi m naandika kilichopo kichwani mwangu and nikitaka kufanya biashara ntajifunza izo sheria za uandishi ahsante kwa ushauri
 
Umejitahidi nisikukatishe tamaa pangilia mtiririko mzuri na usiruke matukio una hadithi nzuri iandike kwa mtiriko mzuri
 
JMWAKA nimependa comment yako na jinsi ulivyomtia moyo huyo mwandishi mchanga. Hiyo ndiyo inatakiwa; wengine humu wanangojeaga kukashifu na matusi tu. Nafuatilia watu hao Sikh zote hawaweki post humu hungojea tu nani kaweka post ili wamchambue na kumtukana. Hao ni waoga hawajiamini siku zote wanaogopa kuanzisha story wakihofia watachambuliwa. Jf haiwezi kuendelea kama watu kama huyu kijana hawaleti story na chambuzi ili tusome na Jf iendelee kuwa sebule ambako watu hawatalala usingizi kwa kukosa story. Kijana wangu ( hope yo still young) endelea usikate tamaa in life watu kama hao wapo tu, take it as a challenge, and go on give us what then happened in your President's Daughter.
 
thanx kwa good comment sister
 
Back
Top Bottom