Presidency position

Mkuu sio kwamba eti mârais was Tanzania ,nchi imewashinda Ila kila rais ameplay part yake kulingana na alivyoweza kufanya though nakubali kwamba even the president ni binadamu anakosea but all presidents in Tanzania did their best including the current president,hàta nchi zilizoendelea walianza hukuhuku na sisi we are still improving though tunàhitaji tuongeze bidii zaidi,kuhusu Mimi nitafanyaje ntajibu hili swali when the time reaches,I still have to work hard towards somewhere

Ni kweli kabisa “we learn through mistakes” lakini je? Keeping doing the same mistakes makes us good learners?
Maana mbona sie hatujifunzi tulipokosea jana tusipakosee leo? Na kwanini tunakosea kwa style ileile kila uchao?
Mr. Dreaming President, je ni makosa gani umeandaa kuyatenda kisha ujifunze kupitia kwayo?
 
Mkuu sio kwamba eti mârais was Tanzania ,nchi imewashinda Ila kila rais ameplay part yake kulingana na alivyoweza kufanya though nakubali kwamba even the president ni binadamu anakosea but all presidents in Tanzania did their best including the current president,hàta nchi zilizoendelea walianza hukuhuku na sisi we are still improving though tunàhitaji tuongeze bidii zaidi,kuhusu Mimi nitafanyaje ntajibu hili swali when the time reaches,I still have to work hard towards somewhere
Mheshimiwa prezida tarajali, mbona kiswanglish sana? Akina sie wa huku Nakapanya tutakuelewa kweli kwenye kampeni zako?
 
Back
Top Bottom