Presidency position

PURT50

Member
Oct 20, 2018
43
36
Habari wana JF, mimi ni Mtanzania ambaye nina ndoto za kuja kuwa President wa URT kupitia CCM niweze kuijenga Tanzania iweze kuwa moja kati ya mataifa imara kabisa ulimwenguni ikiwa pamoja na kuondoa umasikini nchini. Nahitaji support yenu
 
Ushauri wangu lala uote umeshakuwa rais wa URT na utekeleze yote unayopenda kuwafanyia wananchi ndotoni then ukiamka unakuwa umeshakamilisha ndoto yako.
 
Habari wana JF, mimi ni Mtanzania ambaye nina ndoto za kuja kuwa President wa URT kupitia CCM niweze kuijenga Tanzania iweze kuwa moja kati ya mataifa imara kabisa ulimwenguni ikiwa pamoja na kuondoa umasikini nchini.Nahitaji support yenu
Kulingana na ndoto yako, Mimi kabla sijakuunga mkono kama ulivyoomba. Ningependa unijuze jinsi utakavyoijenga nchi hii iliyowashinda watangulizi wako.
 
Kwanini usiwape\mpe ushauri huyu aliye madarakani leo, hizo njia za kufikia uchumi imara ili tuwahi kufika huko, badala ya kusubiria mpaka we ufikishe miaka 40 na uwe na degree moja?
 
Wewe ni sawa na Magu mna ndoto sawa za kuijenga Tanzania mnayotaka, mimi nikafikili una ndoto za kuwaongoza Watanzani waijenge Tanzania wanayoitaka!.
 
Habari wana JF, mimi ni Mtanzania ambaye nina ndoto za kuja kuwa President wa URT kupitia CCM niweze kuijenga Tanzania iweze kuwa moja kati ya mataifa imara kabisa ulimwenguni ikiwa pamoja na kuondoa umasikini nchini.Nahitaji support yenu
Ndoto nzuri hiyo, endelea kulala, utaota umekuwa mpwa wake.
 
Kulingana na ndoto yako, Mimi kabla sijakuunga mkono kama ulivyoomba. Ningependa unijuze jinsi utakavyoijenga nchi hii iliyowashinda watangulizi wako.
Mkuu sio kwamba eti mârais was Tanzania ,nchi imewashinda Ila kila rais ameplay part yake kulingana na alivyoweza kufanya though nakubali kwamba even the president ni binadamu anakosea but all presidents in Tanzania did their best including the current president,hàta nchi zilizoendelea walianza hukuhuku na sisi we are still improving though tunàhitaji tuongeze bidii zaidi,kuhusu Mimi nitafanyaje ntajibu hili swali when the time reaches,I still have to work hard towards somewhere
 
Kwanini usiwape\mpe ushauri huyu aliye madarakani leo, hizo njia za kufikia uchumi imara ili tuwahi kufika huko, badala ya kusubiria mpaka we ufikishe miaka 40 na uwe na degree moja?

Labda hafikiki!?
Labda hashauriki!?
Labda hajulikani ni nani hasa hata akawe mshauri?!
Nami nawaza tu, sijui nimelala au naota macho
 
Basi walau aandike humu (mtoa mada) ili nasi tunoe bongo zetu zaidi na huenda aliyekalia usukani akaambulia mawili matatu yakatufaa sote.
 
Back
Top Bottom