Sasebosa inapopitaga hapa skonge daaah huyo dereva kama anakulaga milungi hvi aiseeeePole sana mkuu, dunia ndivyo ilivyo huku Makongolosi tunapambana na Sasebosa Bus.... ukipita Bintimanyanga, Lupa nadi Kitunda ni vumbi unafika mwekundu.....🤣 lakini tuna enjoy maisha kama kawaida Ndaule.....😜
Huyohuyo mwenye kidevu kama anapuliza moto..🤣Sasebosa inapopitaga hapa skonge daaah huyo dereva kama anakulaga milungi hvi aiseeee
Nimepanda sana sasebosa mkuu... Aiseee jamaa anakimbiza sana huyo...Huyohuyo mwenye kidevu kama anapuliza moto..🤣
Sio poa jamaa, maana hua akifika pale Rungwa/e hua anashuka kibabe anaenda kwa mama niwekee pale anajaziwa wali na nusu kuku na kachumbari imejaa kibeseni....😜Nimepanda sana sasebosa mkuu... Aiseee jamaa anakimbiza sana huyo...
Asssume tuu hamna lami je lami ingekuwepo
Kuna siku tupo Lupa. Mzigo ulipiga pancha cha ajabu jamaa hakusimamisha ila aliuliza tuuSio poa jamaa, maana hua akifika pale Rungwa/e hua anashuka kibabe anaenda kwa mama niwekee pale anajaziwa wali na nusu kuku na kachumbari imejaa kibeseni....😜
Nimewahi kusema hongera zote za TANESCO Naombeni mimi hapaSio hao tu hata taasisi za serikali nyingi haapokei simu wala hawajibu mesej kongole kwa taasisi hizi wapo active sana kwenye kupokea smu
1. Tanesco
2. NHIF
3. Psssf
Psssf wana hela za watu. Lazima wawe timamu 😀Sio hao tu hata taasisi za serikali nyingi haapokei simu wala hawajibu mesej kongole kwa taasisi hizi wapo active sana kwenye kupokea smu
1. Tanesco
2. NHIF
3. Psssf
Bado sijaona tatizo la lipa no.Lipa kwenye namba ya voda alafu hujui ticket yako unaipataje ndio utakua ujuo