Presha Kubwa Lumumba, masaa Kadhaa Kabla UKAWA Kutangaza

Watu walikuwa busy na dodoma hizo za upwawa watu hata hawana habari nazo haa haa hakuna hata attention ya watu!!ndo mnaanda kadi za wafuas wa nannnn!
 
UKAWA kama watachanga karata vizuri watakamata dola cha msingi waweke mtu atakayekubalika

Mkuu ondoa shaka,Kila kitu kipo sawa
Kesho kwetu wanaukawa ni sikuku tusherekee pamoja.
 
Kama wananchi ni mimi huyu na yule basi ukawa haina nafasi! Hatuwezi kuwapa nchi wachagga kwani wamejaa udini na ukabila! Jana wakati naongea na jirani yangu wakichaga ndo nikathibitisha kuwa hawa watu hawafai hata kupewa ujumbe wa nyumba kumi!!
Nahisi una upeo mdogo sana, kwani UKAWA unahusiana na nini na ukoo wa Slaa na Mbowe? UKAWA ni Umoja wa Katiba ya Wananchi. Na umoja huu usingekuwa na nguvu, ile katiba yenu ya joka la makengeza ingeshapigiwa kura ya maoni. Au unafikiri bado 30 Aprili 2015 haijafika? Sasa ujue kuwa UKAWA ni ya wananchi subiri Oktoba 25, ndo utajua kazi.
 
Hakuna chama kinaitwa ukawa.hata karatasi ya kura kutakua na nembo ya chama atakapotoka mgombea.ni hapo sasa watu watakapotafuta jina la ukawa kwenye karatasi hakuna.
 
Back
Top Bottom