Presha Kubwa Lumumba, masaa Kadhaa Kabla UKAWA Kutangaza

Ukawa ndio mpango mzimaaa,, ccm hawana jipya,, magufuli mwenyewe anaogopa. Ajiamini tena, hata kusalimia wenzake juzi, anaangaika,, mara huku, Ajiamini tena. Kashafika kwenye chumba cha mafisadi atasema nini.. Anasubiliwa kuambiwa fanya hivi, vile, kwa sababu taifa halina nation vision...
 
Kibo yaani inaonesha wakati unaandika haukuwa sawa bin sawia.
Ivi Mbele ya Magufuli Ukawa unamuona mgombea gani mwenye uwezo wa kufurukuta? Mie kila mwanachadema au cuf ninayemjua na ambaye toka JP apitishwe nimeshakutana nae wote wamekili kuwa kura zao ni kwa JP Magufuli ukimuuliza why not slaa/prof wanakujibu hawataki mtu wa kujaribishia nawakati tayari yupo mtu mwenye uwezo wa kufanya wanachokihitaji watanzania.

Kibo nikuulize ivi upo Rombo au kilimanjaro mjini? Ulishabahatika kufika Dar pale Kinondoni ukaziona ofisi za kachama kako. Kachama kanapata ruzuku watu wanabwenya mpaka leo wamepanga na isitoshe ofisi zingine zote huwa mmepanga tu flem. Yaani mgombea atakaye ingizwa king eti anaenda kumuoppose magufuli atageuka commedian na kura ataambulia very very kiduchu
wale machinga wa koroboi pale mwanza walisharejesha kadi za vyama vyote vya upinzani..wametamka wazi kwamba wana imani na jembe magufuli..naona kama kuna kuja ushindi wa tsunami
 
Hali ya simanzi imeendelea kutanda CCM baada ya mbinu chafu propaganda kufeli katika harakati zao za kuisambaratisha Ukawa.

CCM wamekuwa waki fight kuhakikisha umoja huo mtukufu unasambaratika kabla ya kumtangaza mgombea wao,
Lakini kwa nguvu ya mungu na mapenzi mema kwa wananchi,Viongozi wa ukawa wameendelea kushikamana kwa kila hali na kesho ni siku ya kilio Lumbumba.

Ukawa watakapotangaza candidate wao na mipango yao yote juu ya nchi yetu na watu wake.

Ni masaa kadhaa yamesalia kazi kukamilika kuanzia ngazi ya udiwani,ubunge na rais kwa nchi nzima.Tuendelee kushikamana wana UKAWA,CCM ni Wafu hawatutishi tulio hai.


Mungu !!!
 
Hivi nyie wakawa kelele zoote za nini kwani kuna jipya kwenu? Mna mgombea mwingine zaidi ya slaa?
 
Taifa la wapumbavu ni Taifa ambalo mikataba ya rasilimali zaidi ya 27 inaingiwa kwanza bila kuwekwa wazi ... halafu bunge lililosheheni akina Magufuli linapitisha sheria za kulinda mikataba wasiyoijua tena kwa hati ya dharula

Ni upuuzi kudhani mafisadi waliokataa kwa nguvu kujadili kashfa za wizi kwenye mabehewa .... watatuletea mtu safi wa kulinda maslahi ya nchi ... lets not be stupid
Mkuu vipi una ekari ngapi kijiji nyumbani..siasa zitakuua kwa shinikizo la damu wekeza binafsi achana na siasa
 
Back
Top Bottom