Chillah
JF-Expert Member
- Oct 12, 2016
- 9,307
- 10,550
ina onesha aliwahi fanya mbaya zaidi ya hiyo... na hiyo ina onekana nzuri sasaMkuu,to be honest hiyo ilikuwa nzuri mbona,labda ukimcompare na wazungumzaji wengne
ina onesha aliwahi fanya mbaya zaidi ya hiyo... na hiyo ina onekana nzuri sasaMkuu,to be honest hiyo ilikuwa nzuri mbona,labda ukimcompare na wazungumzaji wengne
Mwenye clip yake tafadhali tuone/tusikilize tusiokuwepo!
unajifananisha na china!!!taifa la tanzania.
unalalama nini?mbona rais wa china kaja hapa kahutubia kichina?hulalamiki!
maendeleo hayana uhusiano na lugha.
official language tz n 2 kinge..na kiswa..
kichwa kisichofikiri ni mzigo ni mzigo kwa kiwiliwili.unajifananisha na china!!!
nani kawaroga nyinyi?
Hiyo ni screening strategy...ili tupate wawekezaji wenye nia hasa kuja Kuwekeza hapa, pili, Kiswahili kinatambulika mpaka AU na UN nadhani hii ni njia ya kuwatafutia walimu wa kiswahili masoko. Upo?...kwanza kwanini a present KWA kiswahili mbele ya wawekezaji?
Rais Dr. Magufuli ana kazi sana, kuongoza 'wasomi' wanaowaza kama wewe!! Yaana ninyi ndiyo nasababisha watu wadharau usomi kwa utaratibu wenu huu wa kuwaza ndani ya kona ya kushoto ya boksi.unajifananisha na china!!!
nani kawaroga nyinyi?
Kiingereza na kiswahili hili halina ubishi, za kiswahili tu ni siasa.mkuu kwani lugha ya Taifa ni ipi?
Lugha yetu ya Taifa ni Kiswahili. kuongea kingereza wala sio usomi tujifunze kujivunia vyetuKiingereza na kiswahili hili halina ubishi, za kiswahili tu ni siasa.
umenena vyemaKiswahili ni Lugha yetu na Tanzania ni Nchi yetu. Kama Lugha ingekuwa issue basi china, Urusi, Uarabuni na kwingineko kusingekuwa na wawekezaji. Hawa watu wengi wa humu JF siku hizi wanadhani Elimu ni KIINGEREZA. Wanasahau kama nayo ni lugha tu kama kindengereko.
Hakukuwa na mkalimani mkuu? Sioni tatizo kama mkalimani akiwepoHuyu jamaa alichonishangaza ni kuongea haraka haraka kama vile alikuwa anaogopa kuonekana kwenye runinga,aliongea kama kalazimishwa,
Body language yake ilikuwa very poor,alionekana mwenye wasi wasi utafikiri kijana wa chuo kikuu anasubiri zamu yake ya kufanya presentation ya project,
Mzee Slaa angalau aliweka mambo vzr,
Kingine walichochemka waandaaji,ni kulazimisha matumizi ya kiswahili,pale turienda kuiuza Bongo na vivutio vyake,turikuwa hatuiuzi kwa wabongo wenzetu,turitaka wao wa Sweden watufahamu vzr,wao ndio ilikuwa "intended audience" na majority hawajuhi kiswahili.sasa kwanini ma genious wetu waliamua kutumia Swahili?
Ingekuwa ni mkutano wa kuwaeleza wabongo wenzetu wanaoishi huko kuhusu masuala ya nyumbani,ingekuwa poa,
Kama waandaaji lugha ilikuwa inawapa shida,wangeomba vile vifaa vinavyoweza kutafsiri,
kamwambie jiwe akajifunze english kwa ras simbaRais Dr. Magufuli ana kazi sana, kuongoza 'wasomi' wanaowaza kama wewe!! Yaana ninyi ndiyo nasababisha watu wadharau usomi kwa utaratibu wenu huu wa kuwaza ndani ya kona ya kushoto ya boksi.
Hawaelewi hao manyumbu..!! Wao si wanawategemea wale wenye elimu za hapa na pale ambao walahi nakwambia ukiwaambia wa present pale hawataweza kamweWatanzania bana kweli ni unafiki umewajaa ,mimi nimeangalia presentation ya Rioba ni nzuri sana,sema tu tumejaa zile roho za kwanini,na nadhani kwa wengi hii ndio mara ya kwanza kuona presentation ikifanywa mubashara kupitia runinga,watu mnahusuda sana eti sasa pia mumeanza kuhoji PhD ya Dr Bashiru,hapo nyuma hatukusikia kuhoji,tukubali kutofatiana na hiyo ndio demokrasia mnayoiimba kila siku hapa,presentation inategemea ni kitu gani unachotaka kuongelea,kuongea Kiswahili hakufanyi ulichopresent kisionekane cha maana sababu bado copy ya lugha yoyote inaweza kutolewa,tuache ujinga akina Putin wanaongea lugha ya kwao kwenye mikutano ya kimataifa hata wachina,wajapani hawaongei Kiingereza,hata Wajerumani hawaongei Kiingereza kwenye makongamano au mlitaka aongee lugha gani na hivi kwa akili yenu mmnadhani Ryoba hajui Kiingereza?
English ndio nini..ni lugha ya nani ?hiv hiyo ndio lugha ya lazima kuijua au...so bila english huwezi endelea kiuchumi..labda tuambieni...tukuzeni kugha yenu mama ya asili acheni ujinga. Mbona hamuigi wachina wajapan wa rusi hata wajerumani...?kamwambie jiwe akajifunze english kwa ras simba
mwambie aende ulaya akaongee kiswahili chake na sio kuishia rwanda,kenya na uganda
tusijifiche nyuma ya mapenzi ya kiswahili sababu hatujui english kwa ufasaha..ebo!!!