lukubuzo Samsis
JF-Expert Member
- Nov 3, 2014
- 2,947
- 3,462
kiswahili ni tunu ya taifa.Yaani Huyu jamaa kapresent shallow sana kama sio msomi vile, kwanza kwanini a present KWA kiswahili mbele ya wawekezaji?
kiswahili ni tunu ya taifa.Yaani Huyu jamaa kapresent shallow sana kama sio msomi vile, kwanza kwanini a present KWA kiswahili mbele ya wawekezaji?
Taifa lipi?la sweden?mbona document nyingi za kiserikali zimeandikwa kiingereza mkuu? Au serikali haifahamu huo"Utunu"wa kiswahili?kiswahili ni tunu ya taifa.
taifa la tanzania.Taifa lipi?la sweden?mbona document nyingi za kiserikali zimeandikwa kiingereza mkuu? Au serikali haifahamu huo"Utunu"wa kiswahili?
Ha ha ha daah mkuuNikisomaga zile makala zake na nikimsikiliza sasahivi basi utagundua kuna Ayubu Ryoba wawili siku wakikutana mmoja atamkimbia mwenzie.
hongera sana mkuu kwa kuwa na jicho la tatu!Tuwe na hamu na mapenzi ya vya kwetu! Economic diplomacy ya Dr. Slaa! Safi sana! Nadhani ni ya kwanza na ya aina yake! Hongera Dr.Slaa , hongera serikali!
Hakuna mbona ilikua nzuri ulitaka abonge kingenge..haahha..Yaani Huyu jamaa kapresent shallow sana kama sio msomi vile, kwanza kwanini a present KWA kiswahili mbele ya wawekezaji?
Safi sana kama amepresent kwa kiswahili tunataka tutangaze lugha yetu siyo kila siku lugha ya kitumwa tu!Yaani Huyu jamaa kapresent shallow sana kama sio msomi vile, kwanza kwanini a present KWA kiswahili mbele ya wawekezaji?
mkuu hata mimi nimeliona ila nikadhan labda swaumsikutegemea mtu mwenye PhD afanye presentation namna ile kama mtu wa Certificate ni kama hajiamini kabisa utafikiri anasikia baridi, huwa nina wasiwasi sana na hizi phd maana hadi anamaliza chuo kikuu, postgraduate, Masters bado tu anapata shida kufanya presentation.
Iko wapi tuione?Yaani Huyu jamaa kapresent shallow sana kama sio msomi vile, kwanza kwanini a present KWA kiswahili mbele ya wawekezaji?
Waswidi hawazungumzi Kiingereza bali kiswidi (svenska språket). Sio wazungu wote wanazungumza Kiingereza; kila mtu ana lugha yake anayoithamini.Yaani Huyu jamaa kapresent shallow sana kama sio msomi vile, kwanza kwanini a present KWA kiswahili mbele ya wawekezaji?
Achana na huyu majinuni mtoa post,Watanzania hujifanya kujua kwa kitu wasichokijuaWaswidi hawazungumzi Kiingereza bali kiswidi (svenska språket). Sio wazungu wote wanazungumza Kiingereza; kila mtu ana lugha yake anayoithamini.
Kuna watu mnajidharau hadi inatisha na kusikitisha....kwanza kwanini a present KWA kiswahili mbele ya wawekezaji?
Kufanya presentation nzuri kuna factors nyingi.
taifa la tanzania.
unalalama nini?mbona rais wa china kaja hapa kahutubia kichina?hulalamiki!
maendeleo hayana uhusiano na lugha.
official language tz n 2 kinge..na kiswa..
Juzi tu umezinduliwa mpango wa kilimo awamu ya pili umeandikwa kingereza kitupu!Safi sana kama amepresent kwa kiswahili tunataka tutangaze lugha yetu siyo kila siku lugha ya kitumwa tu!
Kiswahili ni Lugha yetu na Tanzania ni Nchi yetu. Kama Lugha ingekuwa issue basi china, Urusi, Uarabuni na kwingineko kusingekuwa na wawekezaji. Hawa watu wengi wa humu JF siku hizi wanadhani Elimu ni KIINGEREZA. Wanasahau kama nayo ni lugha tu kama kindengereko.Mh! Msomi wewe au nyuma ya keyboard una lako jambo! Ungesikia "opening remarks" usikuja na lawama hiyo. Isitoshe ubora wa "presentation" siyo lugha, au!