Domy
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 4,700
- 1,086
Jamani mzee wetu analea sasa hivi. Kapata mtoto kwa mama Salma. Huenda safari zikapungua
duh! Rais anashindwa kupanga uzazi, ndio mana Nchi inayumba kumbe alikuwa anatafuta mtoto.
Jamani mzee wetu analea sasa hivi. Kapata mtoto kwa mama Salma. Huenda safari zikapungua
mnachagua rais mgonjwa mnategemea nini?Lazima awe kutwa anaenda kutibiwa tu haina ubishi hiyo
Malengo makuu ya safari za Kikwete:
1/Kuomba misaada ya kibinadamu na kiuchumi.
2/Kuomba kusamehewa madeni.
3/Kuvutia wawekezaji wa kigeni kuja kuwekeza nchini.
4/Kutangaza vivutio vya kitalii na Kuvutia watalii wa kigeni.
5/Kuhudhuria mikutano, makongamano, warsha, semina na matukio ya kimataifa.
6/Kwenda kuonana na watu maarufu kisiasa, kimichezo, kimuziki, kiuigizaji, kimitindo.
7/Kuhudhuria mafunzo ya kiuchumi, kijamii nk.
8/Kwenda kutia saini mikataba mbalimbali ya kiuchumi na kimataifa.
SOURCE: IKULU.
Obama ni rais wa nchi tajiri , yeye anafuatwa na masikini kuombwa na JK ni rais wa nchi masikini inabiidi ahangaike kila kukicha kutuombea chumvi kwa majirani. au mnataka akae home tufe njaa? mnazani hayo madafu yanahesabika duniani?kama Nimekosea hapo mtanisahihisha.
Rais Barack Obama,amekaa ikulu kwake miaka 4,Amesafiri safari 32,
Hayati Baba wa taifa,amekaa ikulu miaka 25,amesafiri safari 68.
Rais Wa Sasa wa Tz(Dk Jk),ikulu miaka 7,safari 392..
Je hizo safari huwa zinatija kwa Taifa?
Obama ni rais wa nchi tajiri , yeye anafuatwa na masikini kuombwa na JK ni rais wa nchi masikini inabiidi ahangaike kila kukicha kutuombea chumvi kwa majirani. au mnataka akae home tufe njaa? mnazani hayo madafu yanahesabika duniani?
mr president is very sick if we dont dare to say this death will say it loud, all these trips is for the sake of his health and not you.
kama Nimekosea hapo mtanisahihisha.
Rais Barack Obama,amekaa ikulu kwake miaka 4,Amesafiri safari 32,
Hayati Baba wa taifa,amekaa ikulu miaka 25,amesafiri safari 68.
Rais Wa Sasa wa Tz(Dk Jk),ikulu miaka 7,safari 392..
Je hizo safari huwa zinatija kwa Taifa?
sasa mawaziri aliwachagua wa nini? si angebaki peke yake ili afanye yote

hapo mzee umenena, mi nahisi hizi safari siku nenda rudi ni kujenga chama na kutafuta support nje, kumbuka mobutu alikuwa benet sana na george bush sr mpaka wakamuangamiza lumumba kwasababu ilikuwa haifuati ramani yao. jamaa akiingia kwenye mkutano washington atakuwa anawatisha wazungu wawekezaji ooh upinzani ukishinda watataifisha kila kitu hapo atapata support sanaAnaenda birthday, kupumzika , kusalimia jamaa, kuomba msaada wa ccm na kujijenga
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
mbona safari hizi zinajulikana mkuu...