Premium netflix account

Premium netflix account

Mzee tuishie hapo kama nimekukwaza kwa namna moja ama nyengine naomba unisamehe mm ni binaadam sio mkamilifu pengine nimekukosea maana kumbe nimegundua mjadala haukuwa kuelimishana...naomba msamaha wako

Sent from my SM-G965U using JamiiForums mobile app
Wewe unayefanya biashara kuangalia consumer behavior ndie unayeona mjadala sio wa kuelimishana!! Huwezi kufanya biashara bila kujua tabia ya wateja unaowakusudia!

Yaani seriously unakejeli kuhusu torrents wakati majority humu source yao ni torrents na related sites?!!
 
Bora you tube haulipii ada.ni bando lako tu
Tatizo la YouTube, linapokuja suala la movies/series, hakuna collection ya kutosha na hata zilizopo unakuta quality mbovu. Hata hivyo, sie wengine tunaokerwa na matangazo hata huko YouTube tunalipia!!!
 
mbona kwa kutumia Vodacom mpesa(mastercard) ni rahisi tuu....kwanini mtu utumie watu wengine kuangalia Netflix?...standard netflix movie/series hata haili data kihivyo..vifurushi vya kawaida unaangalia movies na series mpaka unamaliza.
 
Saw ni rahisi ila kwa mwezi ni Tsh 28,000 na vicent kadhaa
Sasa bora kipi sjui kulipa tsh 3000 au tsh 28,000 kwa mwezi

Sent from my SM-G965U using JamiiForums mobile app
 
Hoja yangu ni BUNDLE!!

Unless kuwe na ujanja ujanja mwingine lakini Premium Ultra inakula bundle balaa!!! Na kama mtu bundle kwake sio tatizo, unless hiyo bundle ambayo si tatizo iwe ni FREE lakini kama analipia mwenyewe, hana sababu ya kujiunga kifurushi cha magumashi kwa sababu si ajabu tayari ni subscriber wa NetFlix kitambo... sana sana ka-share akaunti kwa washikaji!
Ila kutumia netflix bando lazima ujipange.. nilazima yani lazima
 
Tatizo la YouTube, linapokuja suala la movies/series, hakuna collection ya kutosha na hata zilizopo unakuta quality mbovu. Hata hivyo, sie wengine tunaokerwa na matangazo hata huko YouTube tunalipia!!!
Agiza soda mkuu utailipia kesho mchana
 
Back
Top Bottom