Premium blogger templates available

Premium blogger templates available

Einsten

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2013
Posts
921
Reaction score
798
Habari !! Jf members
Ninazo premium blogger templates ambazo utaweza kuondoa footer credits.. Templates hizi nazinunua kwa kazi zangu na wanaruhusu kuhost unlimited DOMAINS.
kama unahitaji nicheki kwenye namba hii. 0656540271
Tsh 5000 tu per template
 
uko wap
 
We nicheki kwenye hiyo namba nitakupa link
 
labda mi mshamba kuna mahusiano gani kati ya templates na unlimited domain? na sijawahi kuona licence kwamba ukinunua template na wewe unaweza kumuuzia mwenzio.
 
Kuna zingine aliyeidesign anakupa Limit ya matumiz kuna ambazo unaweza kuzitumia kwa blog zaid ya moja nyingine unatumia kwa Blog moja tuu na huweza itumia kwa nyingine labda kama mtaalam uchakachue.
Nadhani hicho ndo alichomaanisha Mdau.
 
Habari !! Jf members
Ninazo premium blogger templates ambazo utaweza kuondoa footer credits.. Templates hizi nazinunua kwa kazi zangu na wanaruhusu kuhost unlimited DOMAINS.
kama unahitaji nicheki kwenye namba hii. 0656540271
Tsh 5000 tu per template

Mkuu ungetuwekea link ya Demo hapa ili tujiridhishe kabla ya kukutafuta
 
Mm nitakupa template niliyonunua nilinunua USD 6.95 na zngine USD 20 Themeforest naziuza kwa sababu wanaruhusu Unlimited Domains
 
labda mi mshamba kuna mahusiano gani kati ya templates na unlimited domain? na sijawahi kuona licence kwamba ukinunua template na wewe unaweza kumuuzia mwenzio.

Kama ww unafanya kazi hizi sidhani kama hyo umeshndwa kujua kuna Template ambazo ukinunua uruhusiw kutumia kwa website zaid ya moja...
 
mbona easy umesema umenunua themeforest eka link ya hio theme tutasoma licence yake, ukiwa na domain mbili haimaanishi website ni mmbili

google.com
google.co.tz
google.co.uk
google.co.ke
google.co.ae

hio ni website moja ila domain nyingi,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom