Mkweli77
JF-Expert Member
- Jul 26, 2013
- 1,458
- 1,119
Umetishaa
Umetishaa
Hahaha, utabiri nao unakutesa?
Ndoto inaonyesha hivi:
Yanga 6 : 0 Rivers
Haya sasa ile siku imefika tupia utabiri wako hapa.
Utabiri Wangu Huu Hapa
Yanga 0 Rivers United 2
Tiririka Mdau
Manara atakua black beauty siku si nyingi maana sio kwa stress anazopewa Yanga!Amen na ikawe hivyo.Napenda kumuona Manara akiwa mnyonge leo baada ya mechi
Kama njaaa!!daahh!Umetishaa
Manara atakua black beauty siku si nyingi maana sio kwa stress anazopewa Yanga!
Tumeona maombi yko mwana UtopoloYanga ata usipo iombea mema maombi yako hayawezi kuamua Mchezo wa Yanga.
tumenuna TayariNatabiri, mikia wote leo watanuna.