Precission air | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Precission air

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Karikenye, Aug 30, 2012.

 1. Karikenye

  Karikenye JF-Expert Member

  #1
  Aug 30, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Precission Air wafuta safari zao za Musoma na ndio lilikuwa shirika pekee la ndege lililokuwa linaleta ndege zake Musoma sasa ukitakaa kusafiri kwa ndege lazima uende Mwanza Kilomita 268, JAMANI mtu kusema MARA ni marginalized region atakuwa amekosea?????????????????????????????????????????????????????? arghhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh?????????????:horn::horn::horn::horn::horn::horn:
   
 2. Kijakazi

  Kijakazi JF-Expert Member

  #2
  Aug 30, 2012
  Joined: Jun 26, 2007
  Messages: 3,546
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 135
  Marginalized na nani? kwani mji gani Tanzania hauko marginalized ukitoa labda Dar?
   
 3. kichwat

  kichwat JF-Expert Member

  #3
  Aug 30, 2012
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 1,824
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  nunueni tiketi kwa wingi muone kama wataacha kuja. Biashara ya ndege haifanyiki kisiasa. Ni lazima iwe sustainable.
   
Loading...