Precission air kunyanganywa ndege tatu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Precission air kunyanganywa ndege tatu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Pdidy, Nov 14, 2009.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Nov 14, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,147
  Likes Received: 5,573
  Trophy Points: 280
  Habari zenye uhakika kampuni ya ndege ya precission air iko mbion kunyangwa ndege tatu ambazo walikuwa wakitumia...ndege hizo ambazo zimasimama kutumika zimefanya safari ya kigoma/tabora kusimama mpaka mwezi wa tatu huku wakiwa wanasubbiri maelewano......
  Huku wakiongea kwa huzuni mmoja wa wafanyakazi alisema kwa kweli sijui nini kinaendelea ila ninachojua wafaransa wamekuja kuchukua ndege zao bwana wamekuja na marubani watatu ....inasemekana jamaa wamekuwa wakilamba hela bila kuwalipa...akiongea kwa huzuni wanasema unajua precission ililetewa ndege tatu kutoka kampuni ya ATR ya ufaransa ambayo ndiowaliokuja kuchukua ndege zao sasa inasemekana jamaa awajapeleka hela kama makubaliano.......kazi kweli kweli hizi kampuni zetu za ndege kila siku wanakuja na mpya
   
 2. M

  Masatu JF-Expert Member

  #2
  Nov 14, 2009
  Joined: Jan 29, 2007
  Messages: 3,285
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Mkuu wewe una bifu gani na hawa Precionair? kila siku unaleta habari negative kuhusu wao. Je hawana jema? wakati mwingine hata one cancellation flight wewe unakuja na kichwa cha habari kikubwa Precisionair yashindwa kuruka! mara oooh Precision air kuwa kama ATCL! nk.

  Vipi mkuu ulikuwa na kibarua huko wamekuputa nini? Mambo ya cancellation za flight ni ya kawaida sana kwenye mashirka ya ndege hata hao ma big brother BA, KLM, Emitarates nk wananafanya sana tu.
   
 3. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #3
  Nov 14, 2009
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  kwa mtindo uu bongo hatufiki popote!
   
 4. Mama Subi

  Mama Subi Member

  #4
  Nov 14, 2009
  Joined: Feb 9, 2008
  Messages: 88
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 15
  Mbona hii habari imekaa kiudaku? Na inaonekana mkuu umefurahishwa sana na hii issue.
   
 5. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #5
  Nov 14, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,147
  Likes Received: 5,573
  Trophy Points: 280

  Mkuu satu sina bifu na wala sitarajii kufanya huko soma vizuri ulichoandika na hiyo topic ya cansellation unayosemea
   
 6. H

  Hashim Mohamed Member

  #6
  Nov 14, 2009
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 29
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Aaah kaka hayo kwa hapa bongo tumeyazoea.
   
 7. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #7
  Nov 14, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,147
  Likes Received: 5,573
  Trophy Points: 280
  Precision air yakwama Mwanza
  Tusker Bariiiidi Yesterday, 03:46 PM

  --------------------------------------------------------------------------------

  Pamoja na kuweka lugha nzuri katika Website yao...

  Precisionair is successfully networking the entire region with our unique combination of speed, convenience and reliability for both tourists and business travelers. Remember, we have an over 98% on-time performance record which means we are always on schedule.


  Mimi nipo Mwalimu Nyerere International Airport kwa masaa matatu nikisubiri wageni wangu wanaotokea Mwanza na Flight PW 413 BOEING 737…
  Mbaya zaidi saa saba na nusu waliwatangazia kuwa wanarekebisha kwa dakika 25 lakini sasa ni almost masaa matatu bado wanasubiria bila ya kuambiwa lolote....

  mkuu masatu nimekuletea hiyo comfirm MWANAHALISI =TUSKERBARIIDI??
   
 8. N

  Ndjabu Da Dude JF-Expert Member

  #8
  Nov 14, 2009
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 3,648
  Likes Received: 408
  Trophy Points: 180
  I think dude just happens to be very keen with issues that have to do with the local aviation scene. That's all.
   
 9. N

  Ndjabu Da Dude JF-Expert Member

  #9
  Nov 14, 2009
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 3,648
  Likes Received: 408
  Trophy Points: 180
  Sasa hao Wafaransa wataendesha hizo ndege hadi kwao? Vinginevyo naomba uendelee kutujulisha kuhusu maendeleo ya masuala ya Aviation.
   
 10. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #10
  Nov 14, 2009
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,050
  Likes Received: 3,958
  Trophy Points: 280
  Mi nahisi hizi ndo theories za kuchukia kila kitu cha Mtanzania mwenzako kisa labda ni Mchagga? au kuna lililo jificha hatujui?
   
 11. Nzokanhyilu

  Nzokanhyilu JF-Expert Member

  #11
  Nov 15, 2009
  Joined: Feb 19, 2007
  Messages: 1,087
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  Naomba kuuliza, ushirikiano wa Precision na KQ/KLM ndege/connection zao za Nairobi-Dar (n vice versa) na zenyewe zinakuwa affected?
   
Loading...