Tatizo letu ni kutojifunza kutokana na makosa yaliyo wahi kukumba Taifa letu kutokana na kuamini majirani zetu kipita kiasi! Mimi nilishangazwa na ujasiri wa PAA kutaka kuomba msaada kutoka Serikali yetu mambo yalipo mwendea kombo, kama mwanzo aliona aingie ubia na KQ ambayo majority wa share holders ni Serikali ya Kenya, kwa nini hakuenda huko Kenya kuomba msaada? Anataka kutwambia hakujua long term plan za mbia wake i.e KQ ilikuwa ime-aim kufanya nini kuhusu usafiri wa anga ndani ya Taifa letu specifically domestic routes - give them an inch they will take a mile! KQ walikwama kutekeleza azma yao fully kwa kuwa na wao mambo hayawaendei vizuri siku hizi.Tunadharau watanzania wenzetu kwa kila kona. precission walijitakia msiba wao wenyewe. hivi kweli nchi kama kenya ambayo inashirika lake KQ ambao in general wahaitakii mema tz unaenda kuchukua mtu huko kujakuwa CEO wa PAA?
mbali na hapo kulikuwa na umuhimu gani wa kuungana na KQ? Pia mtu anawezaje kukodi ndege halafu mnaambiwa zimenunuliwa mnakubali na mnashindwa kujua kwa muda wote huo. halafu inaonekana hata wakurugenzi nyeti wote walikuwa ni wakenya na walikuwa kundi moja kwani haingii akilini madudu yote hayo yafanyike bila kujulikana kwa muda mrefu hivyo
mkuu hapa unaua. HA HA HA HA HASisi hatuna shida sana na usafiri wa anga, tuna shida na usafiri wa reli. Reli inahudumia abiria wengi kwa wakati mmoja na ina uwezo mkubwa sana wa kubeba mizigo
Well said mkuu, kila binadamu mwenye akili timamu anajua fika kwamba reli ina umuhimu wa pekee nchini - Mkuu hivi wewe unaona kuna dalili za kweli nchini za kuvalia njuga suala hili la RELI - labda mimi niko overly PARANOID kuhusu ucheleweshaji wa ujenzi wa reli ya kati 2 Standard Gaunge, wanazungumzia mambo mengine kabisa - binadamu ninaye muona yuko commmited by 100% ni JK na Dk.Mwakyembe swali ni je, wenyewe peke yao wanaweza ku-move mountain kweli - Kenyatta amekwisha onyesha mfano kwamba "YES THEY CAN" sisi tunasuha suha nini? Juzi hapa nilisoma chapisho fulani silikumbuki vizuri eti suddenly wasafirishaji wenye ma-Juggernaut yao wanasema watakuwa responsible kuhakikisha barabara zetu zinatunzwa - who can take these business guys seriously!! Kama Serikali ya Kenya inalalamikia wafanya biashara wa malori makubwa nchini mwao kwamba wameanzisha kampeini ya kuipaka matope Serikali yao kwa kuhoji eti kwa nini Serikali yao inakubali ujenzi wa reli unaogharimu $6million kwa Kilometer moja, wanayasema hayo huku wakijua Wachina na Kenyatta wamesema gharama ni $2million kwa Kilometer moja - basi tu wafanya biashara hao hawataki Reli hiyo ijengwa au ikiwezekana ichukue miaka nenda rudi kukamilika - huko ni Kenya, je hapa kwetu si ndio balaa!!! - jamaa hawa wako well organised.Sisi hatuna shida sana na usafiri wa anga, tuna shida na usafiri wa reli. Reli inahudumia abiria wengi kwa wakati mmoja na ina uwezo mkubwa sana wa kubeba mizigo
Lilivyokufa shirika la ATCL,Hawa precision air walichekelea sana,sahv mungu amewalaani nao wanaugulia,fundisho hapa ni kwamba mwenzako akiteleza akaanguka usimcheke,mpe pole msaidie kujipangusa vumbi muendelee na safari
ATCLilikuwa inahujumiwa na makundi mawili, serikali kuingilia management na kutokudhibiti mapatao na lack of business focused mechanism
Kwa Precission wao walikuja na strategies za kishamba utadhani ni mabasi yanagombania abilia. Precission walikuwa wanaihujumu ATCL kupitia wafanyakazi wa humo humo ATCL, mara vioo vipasuke angani, na vituko vingine vingi na infact walikuwa wanapika ajari ili wakidhani strategy za namna hiyo ndo za kushindana. pili control ya mapato haikuwepo uswahili mwingi unakuta wale wanaohusika na mizigo hata kwa macho tu inaonekana hawajasomea hiyo kazi, mambo ya ujanja ujanja tu
Ndege inakuwa over booked ukizubaa tu unaaambiwa ndge imeshajaa na uko kwenye folen halafu vile vidada vinajiondokea vinawaacha hamjui cha kufanya mtu mwingine unakuta labda anakuja kwenye interview! au anaunganisha flight Mnakuwa mumemkwamisha halafu bad enough it was ok with them as long as you dont have anywhere to take them utarudi tu humohumo precission kushitaki and no ones care zaidi ya kupangiwa flight ya keshokutwa. Hii habit waliendayo kwa muda mrefu bila kuwa na long term plan, Ikaja community airline nadhani wakaiua kwa kuichongea kule kwa insuerer pia wakaichomea serikalini kwamba haina vigezo (technically) vya kutua baadhi ya viwanja. ikabidi shirika la watu lijiondokee.
So strategy zao ilikuwa ni kuburuza competitors na customers alike na bei zilikuwa zinabadilika overnight. halafu walivyo poor thinkers au kutafuta visingizio wanasema kubadilika badilika kwa bei ya dola ni sababu moja wapo ya wao kuanguka. Jamani hivi yale mambo tuliyokuwa tunasoma kwenye international finance kama future forwarding na vitu kama hedging kwa vyovyote vile ni common kwa baadhi ya industry kama airline na mining ili kufanya forecast ya operation costs Kuwa stable, wao financial analyst wao alikuwa hawaambii au walipiga chini kupunguza gharama
Waliondoka kwenye business principles wakaanza ujanjaujanja ili ku-maximize kumbe majanga yalipokuja kama fast jet na mengineyo wakakosa ujanja.
suala la kupewa hela serikalini liko hivi.
Huwezi kuomba hela hizo kwa shirika linalokaribia kufa kama hilo bila kuwa na implication kwenye shares.
Hii inakuwa sensitive issues wakati Kampuni inaanza na haina capital au Kampuni iko kwenye crisis na inataka kuokolewa. Ikifika hapo lazima mkubaliane na lender masharti yake ikiwa ni pamoja na yeye kuchukua hisa nyingi sometime anataka awe na majority stake ili awe na sauti ya mwisho katika kuamua investment. Sasa je Shirima atakuwa tayari kusarenda hizo 43% na pia hao KQ nao wasarende hizo 41% ili bailout iwe possible. Hakuna mjinga atakaye jiwekea hapo hela kiholela na hapa wala sio siasa
Unataka kusema hayo yaling'amuliwa kwa sababu ya kuwepo Dr. Mwakyembe pale wizarani!?ha,ha,ha,ha sawa sawa ni kama mtu ana gari halaf kimeo ndo anataka kuliuza kijanja,sasa kwakuwa serikalini napo janjajanja wapo wamestukia hlo,bila hvyo wangeingia mkenge mbaya na lingekuwa bonge la skendo,wawaache wafe kifo cha kawaida
tupe updates maana roho inatuuma kwa kutoelewa nini kinaendelea uko!Reli inajengwa, ukienda Tabora ukishatoka kwenye rami pale manyoni humo porini wachina wako busy kweli
Well said mkuu, kila binadamu mwenye akili timamu anajua fika kwamba reli ina umuhimu wa pekee nchini - Mkuu hivi wewe unaona kuna dalili za kweli nchini za kuvalia njuga suala hili la RELI - labda mimi niko overly PARANOID kuhusu ucheleweshaji wa ujenzi wa reli ya kati 2 Standard Gaunge, wanazungumzia mambo mengine kabisa - binadamu ninaye muona yuko commmited by 100% ni JK na Dk.Mwakyembe swali ni je, wenyewe peke yao wanaweza ku-move mountain kweli - Kenyatta amekwisha onyesha mfano kwamba "YES THEY CAN" sisi tunasuha suha nini? Juzi hapa nilisoma chapisho fulani silikumbuki vizuri eti suddenly wasafirishaji wenye ma-Juggernaut yao wanasema watakuwa responsible kuhakikisha barabara zetu zinatunzwa - who can take these business guys seriously!! Kama Serikali ya Kenya inalalamikia wafanya biashara wa malori makubwa nchini mwao kwamba wameanzisha kampeini ya kuipaka matope Serikali yao kwa kuhoji eti kwa nini Serikali yao inakubali ujenzi wa reli unaogharimu $6million kwa Kilometer moja, wanayasema hayo huku wakijua Wachina na Kenyatta wamesema gharama ni $2million kwa Kilometer moja - basi tu wafanya biashara hao hawataki Reli hiyo ijengwa au ikiwezekana ichukue miaka nenda rudi kukamilika - huko ni Kenya, je hapa kwetu si ndio balaa!!! - jamaa hawa wako well organised.
4tupe updates maana roho inatuuma kwa kutoelewa nini kinaendelea uko!