Precision Air versus FastJet, Nani zaidi

HAWA WATU WAMEINGIA NA UJANJA MWINGI KWELI KUTANGAZA KUWA BEI NI NDOGO LEO HII NIMETOKA KUKATA TIKETI YA KWENDA Dar na kurudi nimelipa TZS 150,000/= ya tarehe 10.12.2012. bado hakuna laguage allowance ukikamata kinywaji unalipia cheaper things are not always cheaper air precision isife ushindani ndio utakao tuokoa na bei za ajabu.

Wakuu mmeina hii au???? Bongo bwana..................!!!!!
 
HAWA WATU WAMEINGIA NA UJANJA MWINGI KWELI KUTANGAZA KUWA BEI NI NDOGO LEO HII NIMETOKA KUKATA TIKETI YA KWENDA Dar na kurudi nimelipa TZS 150,000/= ya tarehe 10.12.2012. bado hakuna laguage allowance ukikamata kinywaji unalipia cheaper things are not always cheaper air precision isife ushindani ndio utakao tuokoa na bei za ajabu.

Pole kaka,nahisi watumia physiological marketing pricing strategies kuingia sokoni,You think it is cheaper but in reality very Expensive!!!!!!!!
 
HAWA WATU WAMEINGIA NA UJANJA MWINGI KWELI KUTANGAZA KUWA BEI NI NDOGO LEO HII NIMETOKA KUKATA TIKETI YA KWENDA Dar na kurudi nimelipa TZS 150,000/= ya tarehe 10.12.2012. bado hakuna laguage allowance ukikamata kinywaji unalipia cheaper things are not always cheaper air precision isife ushindani ndio utakao tuokoa na bei za ajabu.

Inawezekana umeenda kukata kwa AGENT, hapo pia utakuwa umepigwa agency fee. Ukikata moja kwa moja kutoka ofisini kwao naamini utalipa chini ya hapo, probably minimum of 120,000 and maximum of 130,000
 
Jamani me mwenyewe nimetoka kukata tiketi sasa hivi, kwa jinsi walivyonielezea ni kwamba kuna class 3 na nauli ya kuanzia ni 32 elfu na ni class ya chini kabisaa, lipo daraja la kati ambalo nauli yake ni 75000(1way) na class ya juu kabisaa ni laki 1 na 17(1 way) so usije ukashangaa unaenda kufanya booking unaambiwa daraja la nauli ya 32 limejaaa! Nimeshuhudia watu wanaambiwa hivyo pale ofisini kwao airport leo!!
 
leo kwenye twitter hao fastjet wamemueleza prof jay kuwa bei ni 135,000 going return na wakaoa namba ya simu
 
Kimsingi nauli za ndege huwa nafuu ukikata ticket mapema na ndivo ilivyo kwa fastjet.

Pia tangazo lao wanasema nauli kuanzi 32,000 (bila kodi)....kama inaanzia hapo ina maana kuna bei za juu pia.

Low cost airlines nyingi hulipisha kila mzigo ambao sio wa mkononi.....
 
2.jpg
waki add hizo taxes na "charges"! bei itakua ka ya precision tu
 
32000 vat haijawekwa hapo wala insurance lakini piahujalipia mzigo wala hujalipia kiwanja cha ndege na bado hupati juice wala chakula everything unajitegemea hyo ni nauli 2,ukipiga hesabu mpk kuondoka/kusafiri unapata si zaidi ya laki 2 wala sichnya laki na nusu all in all fastjet ni cheap kuliko precision air coz kwao ni laki 2 na nusu hpe bei zitashuka zaidi ya hapo!!!
 
Kiuchumi, serikali makini haiwezi kufanya hivyo. Wanaopanda ndege ni asilimia ndogo sana ya watanzania. Kodi inayokusanywa kwenye mafuta ya ndege ikitumika vizuri inafaidisha watanzania wengi zaidi kuliko hawa wanaotumia usafiri wa ndege. Kuondoa kodi kwenye mafuta ya ndege ni sawa na kuondoa ziwa mdomoni mwa kichanga na kumpa baba yake.

What about kuongeza kodi kwenye mafuta ya taa ili kucurb uchakachuaji wa petrol na diesel? What percentage of Tanzanians uses kerosene? The tax collected from kerosene how does it help the poor who are the majority users of kerosene? So ukisema kuwa serikali haiwezi kupunguza kodi kwenje jet fuel is wrong.
 
Huwezi kuoperate airbus kwa nauli ya 32k kwenda Mwanza!!!

I guess hiyo 32k ni offer ya ticket chache lets say 10% ya tickets for every flight, Marketing strategy

Unaweza, in a long run kama umepanga mambo yako sawa. Unategemea volume zaidi na huangalii tiketi moja moja. Usije kushangaa baada ya muda mashirika mengi yatapunguza bei. Kigezo ni kuangalia masharti unaponunua tiketi i.e. ... ... ... mara nyingi tiketi rahisi huwa hakuna refund kama ukivunja safari au unaambiwa ulipie zaidi nk. Soma masharti kabla ya kununua tiketi hiyo.

KLM hili ni soko hulia. Usafiri wa anga ni nafuu sana kwa nchi za wenzetu, mi ninashangaa hapa TZ si jui inakuaje
 
Hivi mnaamini kabisa nauli yaweza kuwa 32,000/-?
Mimi yangu macho, nasubiri kusoma hapa comments zenu za kulaumu na kulaani!
Precissionair FOREVER! Mimi ni abiria tu msininange tafadhali!

Usiogope watu kukunanga, observation yako nzuri na kwa wale wanaotumia usafiri wa ndege hata kama ni mara tatu kwa mwaka watakuunga mkono, nauli ni kweli 32,000 lakini kwa watz wengi ambao safari zao si za mpangilio bado amabapo mtu anapanga safari wiki moja kabla hawezi kupata hiyo huduma, ili uweze kupata inabidi upange safari yangu 2 weeks ni advance na kwa mwezi wa December mpaka tarehe 28 na mpaka January 10 nauli inacheza 80,000, 96,000 na 112,000 ikiwa utafanya booking ili uondoke tarehe 6 (nimepitia wensite yao), kwahiyo ukiangalia kwa haraka haraka go and return kipindi hiki ni kati ya 160,000 na 214,000. Kwa wale wadharula mfano kama unataka kuondoka kesho au keshokutwa nauli ni kati ya 144,000 na 160,000 (oneway) kurudi inategemea lini kama utarudi baada ya wiki maana yake utalipa 96,000, 112,000 au 80,000 inategemea na muda utaoondoka hivyo assuming utalipa 112,000 maana yake utalipa 272,000(return).

Hivyo mdau observation yako ni nzuri ila kwa wale wanaojipanga mfano kama unataka kuondoka kuanzia January 18 ticket unapata maana na hawa jamaa ni wajanja si unajua huu ni mwezi wa masikukuu na wao wamepandisha kidogo

Back to uzi, bado precisiom air ataendelea kutamba tu maana nauli mpaka jana ilikuwa 208,000 (return) kwa wale wazee wa unaondoka keshokutwa booking unafanya leo na hao ndio wengi mdau maana kwa fast jet mfano ukitaka kuondoka kesho nauli ni 160,000 si unaona gap hilo

Na ndio maana precision air nae ameshituka karibu kila siku anapeleka mwanza boeing maana wengi hupenda kusafiri saa 1 na robo amefika sio anakaa masaa 2 na ATR
 
KLM hili ni soko hulia. Usafiri wa anga ni nafuu sana kwa nchi za wenzetu, mi ninashangaa hapa TZ si jui inakuaje

Tatizo letu ndio hilo kila mtu anaeleta ndege ameangalia soko la Mwanza (ndio wanategemea sana hapa) alafu na KIA, kisha Kigoma na Tabora, wangekua na ndege ndogondogo za watu 45 angalau zinakwenda Lindi, Singida, Manyara, Rukwa wangekuwa na mapato ya kutosha kuweza kutengeneza faida, ndege ingekuwa kama Bus si tungechukua hii kama fursa wakati wao wanaleta boieng na airbus, sie tunaleta folker za kutosha tunakwenda mikoa mingine kabisa nje ya Mwanza na Arusha/Moshi
 
Nilikuwa nasubiri kwa hamu sana kifo cha precision, kwani kifo chake ndo kifo cha basil mramba alieiua ATC,ajaye kwa upanga naye atakufa kwa upanga.Karibuni sana FastJet
 
32000 vat haijawekwa hapo wala insurance lakini piahujalipia mzigo wala hujalipia kiwanja cha ndege na bado hupati juice wala chakula everything unajitegemea hyo ni nauli 2,ukipiga hesabu mpk kuondoka/kusafiri unapata si zaidi ya laki 2 wala sichnya laki na nusu all in all fastjet ni cheap kuliko precision air coz kwao ni laki 2 na nusu hpe bei zitashuka zaidi ya hapo!!!

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom