Precision Air Services Limited-Job Opportunities.(Aviation)

Young men, kazi adimu ndizo hizo sasa!...Changamkieni!
Hadi unatembelea mkongojo bado uko marketable!
 
Young men, kazi adimu ndizo hizo sasa!...Changamkieni!
Hadi unatembelea mkongojo bado uko marketable!

Ndugu yangu PJ usishangae hizo kazi zikachukuliwa na wakenya kwani vijana wetu hapendi masomo ya Science wanabaki kusoma Kiswahili na Historia hata wanaume.....ndio maana wauza kashata ni wengi mtaani!!!!
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom