Lazima kutakuwa na sababu ya msingi. Precisionair hawawezi kufanya upuuzi wa aina hiyo ambao ni dhahiri unaathiri biashara yao.
mbona hao abiria hawafiki 46? Kingine habari haijakamilika hebu wafuate na watu wa Precision wataeleza vizuri.
Precision wamecancel kama kawaida ndege ya kwenda Mwanza saa tano leo hii tarehe 9.12.2012 mpaka saa tatu usiku.
Hawa jamaa wananikera sana sana sana. Kwa anayekwenda MWanza awe alerted.....
mbona hao abiria hawafiki 46? Kingine habari haijakamilika hebu wafuate na watu wa Precision wataeleza vizuri.
Mbona unadhalilisha viazi?