PakaJimmy
JF-Expert Member
- Apr 29, 2009
- 16,202
- 8,781
Mkuu, kwa uzoefu na kwa kusoma maandishi yako, wewe ni wale wasafiri wanaitwa 'Last-Minute Pax, na kwa ndege zingine unaweza ukazuiwa na kuachwa na ndege, huku unaiona! Watu wa aina yako kiusalama ni suspects!PJ ,snag sawa taarifa mapema ni muhim.
Kawaida ya ndege lazima u'reserve ample time ya kuwepo uwanjani, an hour or so!..sio unafika unakimbia hadi counters, jasho mingi, hiyo siyo staha ya abiria wa ndege.
Lau ungefika mapema ingesaidia kujuzwa mapema na usingekuwa na munkari, maana anayetangaza ni lazima atoe plan B ya matter on hand!
All in all, pole sana.