Precision Air Jirekebishe.. duuh cancelation yenu imezidi

kanyagio

JF-Expert Member
Dec 10, 2009
1,021
365
Duh, jamani precision Air wamezidi, lazima kila wiki wa-cancel au kusogeza mbele time za kuondoka hasa route ya Dar-Mwanza. Hebu jiulize mtu unatakiwa kuondoka leo Jumatatu saa 8.40 alasiri inasogezwa hadi saa 1.40 then 2.10 lakini hadi sasa hakuna dalili. the bad thing you dont provide any feedback or apology for such delays. hebu jirekebisheni bana.

natangaza rasmi kuamia kwa Fly 540 kwa muda wakati niki-evaluate performance.

Precision tafadhali ondoa ubabaishaji.
 
Hili shirika linaendeshwa kimfumo wa Monopoly ni kama TANESCO wanavyo endesha kampuni yao, wao wanaamini hawana mshindani na ndo wao tu
 
Duh, jamani precision Air wamezidi, lazima kila wiki wa-cancel au kusogeza mbele time za kuondoka hasa route ya Dar-Mwanza. Hebu jiulize mtu unatakiwa kuondoka leo Jumatatu saa 8.40 alasiri inasogezwa hadi saa 1.40 then 2.10 lakini hadi sasa hakuna dalili. the bad thing you dont provide any feedback or apology for such delays. hebu jirekebisheni bana.

natangaza rasmi kuamia kwa Fly 540 kwa muda wakati niki-evaluate performance.

Precision tafadhali ondoa ubabaishaji.

Ngoja kamkopo kangu katoke,namimi lazima niingize ndege ndogo ktk route hiyo,inaonekana hiyo route iko na abiria wengi. Niungeni mkono.
 
Hivi kwanini Air Tanzania hawaendi Mwanza wanaenda Kigoma na Tabora tu ili hali wanajua kuwa route ya Mwanza ndo yenye watu wengi?
 
Huezi jua bwana huenda hawa wazushi (precision) wamenunua hiyo route hii nchi si hela yako tu! Unaweza chimba hata shimo la taka katikati ya barabara alimradi tu umenyoosha mkono!!!! Ntakuja lipua watu wengi sana nikiingia alshabab!
 
Mimi ni mtumiaji mzuri Wa precision air, na nimzurura airline zote za Tanzania air excel, coastal, 540, zanair, hakuna airline reliable Kama precision air, tena hakuna Siku wame cancel bila kutuma text na kuomba msamaha, mwenzangu labda Ndo Zile issue za kupanda ndege Mara moja tena hukulipa wewe Ndo maana hukupigiwa Simu! Kama ulitaka tujue umepanda ndege mara ya kwanza tushajua.

Duh, jamani precision Air wamezidi, lazima kila wiki wa-cancel au kusogeza mbele time za kuondoka hasa route ya Dar-Mwanza. Hebu jiulize mtu unatakiwa kuondoka leo Jumatatu saa 8.40 alasiri inasogezwa hadi saa 1.40 then 2.10 lakini hadi sasa hakuna dalili. the bad thing you dont provide any feedback or apology for such delays. hebu jirekebisheni bana.

natangaza rasmi kuamia kwa Fly 540 kwa muda wakati niki-evaluate performance.

Precision tafadhali ondoa ubabaishaji.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom