Precision Air imeanguka Shinyanga?

Status
Not open for further replies.
Duh afadhali iwe ni mazoezi maana na hizi share nilizonunua mbona ingekuwa balaa

Mkuu, mimi niliposoma tittle tumbo ilibidi niwahi msalani fasta. Ndo kwanza nimetoka hapo kwa mzee kimei kujipatia hapo vijihisa kidogo.
 
Jamani mwenye habari ya uhakika kuhusu hili atujuze maana nina ndugu yangu aliondoka mchana huu kwenda Mwanza,hapa nipo roho juu.
 
Yalikuwa ni mazoezi tu jamaniii, angalieni kwenye hiyo picha huyo nesi anacheka............
 
Nimeongea na watu wa precision shinyanga wanasema yalikuwa ni mazoezi tu na ni ndege ya jeshi
 
Ok, tunashukuru kwa kutujulisha ukweli. Ngoja niwaombe Mods waifute kabisa hii habari.

Tunashukuru kwa kuamua kuwa na mazoezi ili siku ajali ikitokea, basi wawe na mwanga wa nini inabidi kifanyike.
 
Duh afadhali iwe ni mazoezi maana na hizi share nilizonunua mbona ingekuwa balaa
Mimi tayari tumbo lilishaanza kupinduka!
Ingekuwaje kwa maelfu ya hisa zangu nilizochangamkia?
Lakini nijuavyo ni kwamba ajali ya ndege ikitokea, kuna wataalamu wanakuja kutafuta chanzo cha ajali. Kama itaonekana chanzo ni kukosea procedures za operations, basi hiyo inakula kwa mwenye ndege(in this case sisi wamiliki wa hisa) lakini kama itaonekana ni hitilafu ambayo haina asili ya mkono wa mtu, basi bima zinalipa fully, na hisa hazishuki bei.
Nawasilisha!
 
Share zako umefikisha ngapi? mbona huzungumzii roho zilizopotea kama ni kweli hilo dude limeanguka? unahofia shares tuu!!

Vipi share zao zitashuka? maana hii ina impact kwenye share
Kabla ya ndege kuanguka 1 Share Tshs 475

After ndenge kuanguka na kuuwa wanashare ( I propose 1Share Tshs 100 ili tununue wengi)
 
hii ndege nina mashaka na usalama wake
kwa mnaopenda kuangalia aircraft inevstigation report ndege hizi zinaanguka hovyo na kuna tatizo kwenye mkia sijaelewa hii waliitoa wapi
Hahahaa sishuki humu

fly-540-CRJ200-fsx1.JPG
 
shame on u all who doest care abt life, but only papers wt monetary value. Can that buy u a life?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom