Precision Air (Dsm Dodoma)

Precision Air (Dsm Dodoma)

Ukanda wetu huu wa ikweta hakuna hali ya hewa mbaya, hivo usalama wa ndege ni mkubwa sana kuliko ukanda wa juu ya ikweta, ndo maana psmoja na midege iliyochoka hakuna ajali nyingi kama kwa wazungu
 
Nimesafiri leo 19.02.2024 na Ndege ya Precision Air PW 600 aina ya ATR kutoka Dsm kwenda Dodoma majira ya saa 5:40 asb na kufika saa 6:55
Ndege imeyumba sana angani hadi abiria wote kupoteza matumaini ya kufika salama Dodoma. Pamoja na uwepo wa mawingu lakini ya Leo ilikuwa inashuka na kupanda ghafla katikati ya safari. Nini uzoefu wako kuhusu ndege hii.

Sent from my PEUM00 using JamiiForums mobile app
Ahaa kumbe ndio nyie mlioitwa mida ya saa 5:20 mka-board kupitia gate No. 5. Poleni, nilikuwa hapo nasubiri ndege ya kwenye mkoa mwingine. Kumbe mlienda kuteseka hivyo poleni sana.
 
Kutuisha ndege baada ya engine failure na gliding from Morogoro to Dar ni vitu viwili tofauti. Usiifanye iwe as if ndege ilikuwa Chanika ikafeli injini ikatua hapo JNIA.

Flight simulator na uhalisia ni tofauti. Kama ndio hivyo basi fighter pilots wangekuwa wanatumia military simulators na wakimaliza wanapewa fighter jets. Mbona wakitoka kwenye simulator, wanaenda kwenye jet trainers zenye twin seats, then wanaenda kwenye zenye single seat.
Mbona airlines kubwa hazichukui rubani asiye na flight hours nyingi kumpa long haul flight, sababu ya experience. Sasa kwanini unataka kupuuzia uzoefu wa glider pilot dhidi ya pilot asiyeweza endesha glider.

Tena glider pilot anajua hata ditching vizuri zaidi.
Sawa uko sawa kabisa.
 
Hiyo ni ndege ndogo ni kawaida ingekuwa Boeng 737 max ungesikia kuyumba kwa mbali sana
 
Hiyo ni turbulence mzee; ni very normal hususan kwa videge panzi kama ATR, Bombardier, au vile vingine vya abiria 10 sijui charted nini sijui.

Ingekuwa jet wala usingehisi chochote; anga la Tanzania ni kati ya anga tulivu mno! Usiombe ukatize hapo India to far East kipindi cha monsoon utachafua nguo!
Ni kweli. Hata bahari ya Pacific ni noma. Niliendaga Fiji kupitia Australia, ndege ni kubwa lakini hiyo turbulence si ya kitoto. Halafu ni masaa 15 non stop kutoka Abudhabi.
 
Back
Top Bottom