Precision Air (Dsm Dodoma)

Precision Air (Dsm Dodoma)

Ndege inaweza ku glide up to 100miles. Moro to Dar kwa umbali wa ndege inaweza is ifike hio 100miles.
Inategemea ndege ipi unasema, inayotajwa hapa maximum altitude yake ni 25,000 ft sawa na 7km+ hivi angani. Kwa 10:1 ratio maana yake haifiki maximum 80km gliding range endapo rubani aliipaisha juu to the maximum kabla ya total engine failure which is very rare labda kama ilikuwa inaenda kuishiwa mafuta.

Na gliding ni uwezo binafsi, bongo hii marubani unakuta hawana hata hobby nyingine hawajawahi rusha hata tiara. Unakuta hawana gliding skills, marubani maarufu hasa kwenye vita ni wale walikuwa waendesha gliders.
 
Sijaongelea aina ya ndege , nimesema its possible ku glide kwa umbali huo. Na kama nilivyosema inabidi rubani awe vizuri sana. Kuhusu uwezo wa marubani wa bongo sijui naona wewe unajua vizuri uwezo wao wote. Kwani hakuna training after losing both engines? Wewe ni rubani? Au instructor?
 
Sjui lini itatokea niamin ten Precision..kiila nikiiona namkumbuka kapicha ka bwana swala anaekimbia pale ziwa Victoria juu ya bawa la nyuma - bukoba
 
Sijaongelea aina ya ndege , nimesema its possible ku glide kwa umbali huo. Na kama nilivyosema inabidi rubani awe vizuri sana. Kuhusu uwezo wa marubani wa bongo sijui naona wewe unajua vizuri uwezo wao wote. Kwani hakuna training after losing both engines? Wewe ni rubani? Au instructor?
Mada haizungumzii kila aina ya ndege, mleta mada hata aina ya ndege kaitaja yanini tufanye generalization. Ndege iliyotajwa inaweza isifike hata nusu ya safari ya Morogoro to Dar kwa gliding.

Bongo hakuna gliding sports therefore hakuna glider pilot na marubani wetu hawafanyi gliding kama recreation, siku ikitokea incident ya kuhitajika gliding ndio kwanza itakuwa mara yake ya kwanza na ndio hapo unamtegemea afanye miujiza.
 
Ha ha ha aisee! Kumbe gliding ya ndege wewe unajua ni ile unavaa sijui nini una glide? Haya uko sawa mkuu.
 
Pole watu wanajibu tuu kw sbb hawajui wkt huo hali unayopitia ww muda huo ilikuwajee...mi napandaga ndege nikiwa na dharura otherwise sitaki kufa kwa presha..hapo dodoma kuna ukanda fulani ndege huwa zinapata shida hasa kipindi cha mvua kama sasa..unaweza jinyea walai...
 
Ukibisha leta facts. ATR 72-600 inaweza glid umbali wa kilomita ngapi. Kutoka Morogoro hadi Dar ni wastani wa 150km. Hiyo ndege hata 100km inafika?

Aliyeweka rekodi ya ndege ya abiria kuglid kwa umbali mrefu yeye mwenyewe alikuwa experienced glider pilot, sio kila glider pilot anakuwa airline pilot na vice versa. Rekodi ni 125km kwa kutumia Airbus A330, hii ndege ina maximum altitude ya 12km angani, 10:1 gliding ratio ikampa 125km mpaka anatua. Wakati hiyo ATR max. altitude ni 7km, experienced glider pilot hazidi 80km kwa gliding. Sasa bongo wapi wanafanya gliding kama hobby kwamba marubani wetu wa ndani wanafanya?
 
Pole watu wanajibu tuu kw sbb hawajui wkt huo hali unayopitia ww muda huo ilikuwajee...mi napandaga ndege nikiwa na dharura otherwise sitaki kufa kwa presha..hapo dodoma kuna ukanda fulani ndege huwa zinapata shida hasa kipindi cha mvua kama sasa..unaweza jinyea walai...
Aisee sio kidogo,
Kuna siku Dom Dar kidogo turejee kwa Muumba
Baadhi ya abiria walishukia kwenye Ambulance JNIA
 
Itakuwa ajabu rubani asiwe trained kurusha ndege baada ya kupoteza engine zote. Ni ajabu.
Kutuisha ndege baada ya engine failure na gliding from Morogoro to Dar ni vitu viwili tofauti. Usiifanye iwe as if ndege ilikuwa Chanika ikafeli injini ikatua hapo JNIA.
Marubani wengi wamepitia kutumia ndege Kwa kupitia kile kifaa flight simulator training device ambapo Wana simulate situation zote pamoja na huko ku glide.
Flight simulator na uhalisia ni tofauti. Kama ndio hivyo basi fighter pilots wangekuwa wanatumia military simulators na wakimaliza wanapewa fighter jets. Mbona wakitoka kwenye simulator, wanaenda kwenye jet trainers zenye twin seats, then wanaenda kwenye zenye single seat.
Mbona airlines kubwa hazichukui rubani asiye na flight hours nyingi kumpa long haul flight, sababu ya experience. Sasa kwanini unataka kupuuzia uzoefu wa glider pilot dhidi ya pilot asiyeweza endesha glider.

Tena glider pilot anajua hata ditching vizuri zaidi.
 
Hizi ndege zisimamishwe anunue au akodi ndege bora.

Precision air mbali na kuyumba, inapiga kelele sana kama vile kuna bati zinaning'inia.
Ina hali flani kama lori la mkaa, niliapa kamwe sizipandi tena

Mimi nazionaga kama zile daladala zilikua zinaitwa “vipanya”. Yani kuna namna ziko
 
Kutuisha ndege baada ya engine failure na gliding from Morogoro to Dar ni vitu viwili tofauti. Usiifanye iwe as if ndege ilikuwa Chanika ikafeli injini ikatua hapo JNIA.

Flight simulator na uhalisia ni tofauti. Kama ndio hivyo basi fighter pilots wangekuwa wanatumia military simulators na wakimaliza wanapewa fighter jets. Mbona wakitoka kwenye simulator, wanaenda kwenye jet trainers zenye twin seats, then wanaenda kwenye zenye single seat.
Mbona airlines kubwa hazichukui rubani asiye na flight hours nyingi kumpa long haul flight, sababu ya experience. Sasa kwanini unataka kupuuzia uzoefu wa glider pilot dhidi ya pilot asiyeweza endesha glider.

Tena glider pilot anajua hata ditching vizuri zaidi.
Sijabisha mkuu ila situation ya kufeli engine mbili ni chache sana hata hao pilots wenye flight hours wengi hawajakutana na situation hizo za kuglide au kufeli engine mbili ila kwenye simulator wanafanya training mara Kwa mara.

And Gliding ni extreme sport sio kila mtu anaweza kufanya wakati pilot ni professional work mtu anasomea. Na nakuunga mkono kuhusu wao kua exposed na flighting materials nyingi kwenye maisha yao inawasaidia sana ma pilot kua mahodari zaidi mfano simulation games,vipindi vya tv na magazine mbalimbali kuhusu ndege pia ndege kwao nyingi hata za mchezo chezo tu.
 
Back
Top Bottom