Precision Air (Dsm Dodoma)

Precision Air (Dsm Dodoma)

Nimesafiri leo 19.02.2024 na Ndege ya Precision Air PW 600 aina ya ATR kutoka Dsm kwenda Dodoma majira ya saa 5:40 asb na kufika saa 6:55
Ndege imeyumba sana angani hadi abiria wote kupoteza matumaini ya kufika salama Dodoma. Pamoja na uwepo wa mawingu lakini ya Leo ilikuwa inashuka na kupanda ghafla katikati ya safari. Nini uzoefu wako kuhusu ndege hii.

Sent from my PEUM00 using JamiiForums mobile app
Mwenye ndege akifariki huwa na ndege zake zinamfuata sijui kuna nini kwenye ulimwengu wa roho...mifano ipo mingi...Kuna yule. Wa Zenji nae ndege zake zilimfuata zote.
 
Mm huwa ikitokea hiyo wala kuwa siwazi coz najua ndege ikiwa angani ipo salama zaid kuliko ikiwa chini
Sehemu hatari cku zote ni kwenye kutua and kuruka na sio ikiwa imekaa sawa na rada angani kule juu control zote zipo mara nyingi ni mawimbi makali ya upepo km ilivyo baharini
 
Inaweza, engine zikifa ina 'glide' yaani inaenda huku inapoteza altitude taratibu, kazi ipo kwenye kutua sasa, kulenga airport na ku control speed wakati wa kutua ndio hatari inaanzia hapo.
Haiwezi umbali wa Morogoro to Dar ni mkubwa sana. Ndege mara nyingi ina 10:1 rift to drag ratio, kama ilikuwa urefu wa 3km angani basi inaenda approximately umbali wa 30km kwa gliding kama ina total engine loss.

Alichomaanisha ni kwamba ndege ilipata hitilafu ya injini moja wakatua Tabora kurekebisha, wakaruka tena ila wakiwa Morogoro injini nyingine ikapata hitilafu hivyo wakatua Dar na injini moja iliyorekebishwa Tabora.
 
Hiyo kitu ya kawaida angani mkuu.
Miaka mingi iliyopita ndege ya ATC Fokker F50 ilizimika engine tukitoka Kigoma hadi Tabora.

Pale Tabora ikatengenezwa na tukaruka.
Tuko anga za Morogoro tukielekea Dar ENGINE YA PILI ikazima. Hapo abiria wote tulipanic, lakini Mungu yu mwema, tulitua salama Dar.
Hemu rudia kusoma maelezo uliyoandika halafu urekebishe upya.
 
Haiwezi umbali wa Morogoro to Dar ni mkubwa sana. Ndege mara nyingi ina 10:1 rift to drag ratio, kama ilikuwa urefu wa 3km angani basi inaenda approximately umbali wa 30km kwa gliding kama ina total engine loss.

Alichomaanisha ni kwamba ndege ilipata hitilafu ya injini moja wakatua Tabora kurekebisha, wakaruka tena ila wakiwa Morogoro injini nyingine ikapata hitilafu hivyo wakatua Dar na injini moja iliyorekebishwa Tabora.
Ndege inaweza ku glide up to 100miles. Moro to Dar kwa umbali wa ndege inaweza is ifike hio 100miles.
 
Nimesafiri leo 19.02.2024 na Ndege ya Precision Air PW 600 aina ya ATR kutoka Dsm kwenda Dodoma majira ya saa 5:40 asb na kufika saa 6:55
Ndege imeyumba sana angani hadi abiria wote kupoteza matumaini ya kufika salama Dodoma. Pamoja na uwepo wa mawingu lakini ya Leo ilikuwa inashuka na kupanda ghafla katikati ya safari. Nini uzoefu wako kuhusu ndege hii.

Sent from my PEUM00 using JamiiForums mobile app
Hizi ndege zisimamishwe anunue au akodi ndege bora.

Precision air mbali na kuyumba, inapiga kelele sana kama vile kuna bati zinaning'inia.
Ina hali flani kama lori la mkaa, niliapa kamwe sizipandi tena
 
Back
Top Bottom