Precious Christopher kavaa skin tight ndefu

Precious Christopher kavaa skin tight ndefu

uhurumoja

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2014
Posts
11,498
Reaction score
27,280
Naona uongozi wa kolopwinyo hautaki kabisa tufurahi kwa kuangalia upendo wa Precious Christopher
Wamempa skin ndefu avae 🚮🚮🚮🚮🚮🚮
 
Wachezaji wa Simba Queens wanaangalika, na kuna ambao wakiingia kwenye mfumo wanapigika vizuri tu.

Kule upande wa pili sasa......wengine wameshatuendesha wakiwa madereva bodaboda. Na wamepata ujasiri wa kuwaita Princess!
Wale Yanga sio princess, yale ni majangili, maharamia, magaidi.

Kuna mmoja alikuwa fundi mechanic pale Mabibo, unamkuta kachafuka oil chafu
 
Wale Yanga sio princess, yale ni majangili, maharamia, magaidi.

Kuna mmoja alikuwa fundi mechanic pale Mabibo, unamkuta kachafuka oil chafu
Kazikazi ndio maana waliwakazia ngao ya jamii mmetolewa
 
Yani sema wa utopolokwinyoni...zile sura ni hadi to sey....😃😃😃
Kazikazi kazini juzi mligongwa warembo mmewekewa vinu vya kazi kazini sub 5 wapi
 
Wachezaji wa Simba Queens wanaangalika, na kuna ambao wakiingia kwenye mfumo wanapigika vizuri tu.

Kule upande wa pili sasa......wengine wameshatuendesha wakiwa madereva bodaboda. Na wamepata ujasiri wa kuwaita Princess!
Kwenye yanga Princes hakuna Princess na kwa Simba queen ni mmoja tu "Precious Christopher"
 
Tuna wasi wasi yale ni madume, kuna limoja ukiliangalia ni kama muafsi wa Cabo Delgado kule Msumbiji
Kazi kazini urembo urembo peleka huko huko Simba na trh 19 October mnapigwa kono la nyani
 
Tuna wasi wasi yale ni madume, kuna limoja ukiliangalia ni kama muafsi wa Cabo Delgado kule Msumbiji
Dah hivi wale wazungu wanawezaje kuwa feminine vile mbona wanakuwa warembo kuliko hata wasiocheza
Yanga angalau Sylivia ni princes
 
Eti mlibahatisha mpira alikua anaangalia wapi labda?
Hakuna bahati pale labda aseme tulishindwa kuwapinga nyingi endapo tungekuwa na kiungo ya kumlisha Herieth vizuri habari ingekuwa mbaya sanan
 
Back
Top Bottom