Precaution given to a former foreign minister over his trip today

Yes ni akaunti ya membe

Ila haijawa verified

Sijui umeelewa point yangu sasa ?
 
Fake News kuanzia accounts za tweeter mpaka gari. Convoy ya JK 2013 ndio unabinua mdomo leo???
 
Nimekuelewa vizuri sana, verification niliyokuwa namaanisha mimi siyo kitiki cha bluu nilikuwa namaanisha Membe kuiown hiyo Account na kuitumia.

Ni kweli anaiown hiyo account
Anhaa hapo sawa chief

Kuna siku aliandika tweet kwamba hii ni akaunti yangu ntakayokua naitumia

Mimi nliifanyia uchunguzi kidogo watu aliowa follow yeye na watu maarufu waliomfollow

Kuona kikwete na kipilimba ku ifollow hyo akaunti

Nkajua this is him !
 
Fake News kuanzia accounts za tweeter mpaka gari. Convoy ya JK 2013 ndio unabinua mdomo leo???

Sasa kwani gari haliwezi kuwepo toka mwaka 2013?
Wewe umewekewa picha ili uone Gari inafananaje, wewe unasema kuwa ilikuwa kwenye convoy ya JK
Sasa kuna ajabu gani sasa Gari ya TISS kuwa kwenye convoy ya rais?
 
Ankali hapiti 2020......Sisi tunaenda na Membe tu....Kigogo ni Ghost kaletwa makusudi...Alidhani Kumuua Ben saa8 ndio itakuwa kamaliza wakosoaji,sasa amtafute Kigogo sasa kama anaweza....Mayagi Mulaga kabashiri weee kakamata watu kibao akidhani ndio kigogo lakini wapi Kigogo2014 yupo 24hrs Twitter.
 
Kwani wewe huyo #kigogo unamjua anafanya kazi gani serikalini?
 
KUBWA JINGA"NDABILE"😂😂😃😃😁😁 umejaza matope ubongoni! shame on you!
 
Ujinga huu wa Membe atawapata nyie tu, eti ana fuatiliwa, nani amfuatilie mtu ambae hana effects kwenye jamii? , mwambieni aongeze bidii kujitengenezea matukio.
 
Mara kadhaa Mheshimiwa Membe anapojibu tuhuma na sintofahamu kadhaa huwa anamalizia na maneno 'NIGUSE NINUKE' ama 'NIGUSWE' Binafsi sielewi ana maana gani?

Kuna mdudu fulani sikumbuki jina lake unaweza ukawa maeneo alipo au akawa kwenye shati lako na usinuse harufu yake ila bahati mbaya ukimgusa, utajuta na hiyo harufu yake kali.

Anasubiri nini kunuka kabla ya kuguswa!
 
Hata Lissu kabla hamjamtandika risas mlitoa kejeli za kipuzi namna hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…