Kekule Wa Benzene Ring
JF-Expert Member
- Apr 15, 2019
- 277
- 1,178
Habari! Toka jumamosi iliyopita nikiwa safarini toka Nyumbani Tanzania Kwenda Ughaibuni niliko jishikiza kimaisha as Diaspora najisikia Ndani yangu kumuombea TUNDU A. LISSU.
Mimi sio mwanasiasa na Sina itikadi ya chama chochote Kile ila ninachojua Tundu Lissu ni Mmoja wa watu ambao Mungu anataka kuwatumia kuibadili Tanzania. Bila Kujalisha Imani Yako Wala itikadi zako za kichama na kisiasa muombee LISSU. Sijajua utaombea eneo Gani to be specific ila ombea AFYA YAKE na OMBEA Mungu amkumbuke Kwa namna ya Ajabu. Mwezi watatu Mungu anaweza mkumbuka.
Kwa waombaji na watu wanaofatilia mambo ya Siasa za Tanzania TUNDU LISSU ni miongoni mwa watu wachache ambao Mungu amewaweka Tanzania Kwajili ya mahitaji ya Wakati ( The need of the hour). Pray for LISSU.