Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,076
- 8,331
Kama ni awamu ya kwanza, Obama alitangazwa as US president November 4, 2008, na akala kiapo on January 20, 2009.
Nadhani unazungumzia alivotangazwa as Rais.
Hadi sasa huyo "Obama" ana umri wa miaka 5.
Umri wake inabidi akasome Chekechea au Shule ya Msingi.
... Ila mbona Shule ya Msingi kusoma bure?
:msela:
Jamani Mwijiiiiiii Mwijiiiii Mwijiiiiii...
Heading ya mwaka hii mkuu!! Lazima visitors wafike 100,000 hahahhaah we ni kiboko
Huo msaada utasimamiwa vipi na dhamana ya nani kuhakikisha anapata masomo?
Kamata mwiz men........anataka hela ya sikukuu huyo !