Pray for Obama popote ulipo

Heading ya mwaka hii mkuu!! Lazima visitors wafike 100,000 hahahhaah we ni kiboko
 
Obama kwa lugha ya kizimbabwe ni "mwizi wa kuku".

Na ukichua na yale maskio yake marefu. Unapa wale vicheche wanaiba kuku kwa kutumia makalio.
Kkkkkkkkkkkkk
 
Kama ni awamu ya kwanza, Obama alitangazwa as US president November 4, 2008, na akala kiapo on January 20, 2009.

Nadhani unazungumzia alivotangazwa as Rais.

Hadi sasa huyo "Obama" ana umri wa miaka 5.

Umri wake inabidi akasome Chekechea au Shule ya Msingi.

... Ila mbona Shule ya Msingi kusoma bure?

:msela:

Jamani Mwijiiiiiii Mwijiiiii Mwijiiiiii...

Kamata mwiz men........anataka hela ya sikukuu huyo !
 
jamaa wewe. kama mtoto anateswa polisi ipo kwanini usimsaidie kwenda polisi kwanza mengine yafuatie...
 
Baba wa huyu mtoto afikishwe mbele ya sharia na huyo mama wa kambo ajsalimishe kituo cha polisi kwa ukatili
 
Huo msaada utasimamiwa vipi na dhamana ya nani kuhakikisha anapata masomo?

dhamana kwani mkopo huuu
toa msaada mkuu ungekuwa wa kule kuna nyimbo inaimba

toaaa ndugu toaaa ndugu ulicho nacho weweee bwana anakuona mpaka moyoni mwakooooooo
 
Kamata mwiz men........anataka hela ya sikukuu huyo !


haahaaaa mku ukisoma shule za halmashauri sio wote wanasoma hhizo sisemi kwa ubaya
yuko intern school ukipenda kutoa msaada ni pm tutakuja na evidence kabla ya kuchukua msaada wako ama
ndio wale wale mnaitaji src hata ya msaada

hapana kutoa ni moyo matumizi ni baraka
ubarikiwe mkuu
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom