Kabakabana
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 5,550
- 1,166
- Thread starter
- #41
ee MUNGU wa rehema na huruma nakuomba umponye Kabakabana
haraka sana na awe mzima kwa jina la Yesu.
ameeen!
ee MUNGU wa rehema na huruma nakuomba umponye Kabakabana
haraka sana na awe mzima kwa jina la Yesu.
oh dear,pole sana,praying for you.
Vomiting blood and chatting in JF.......
Aisee, why dont you see the doctor once again? Hebu muombe ndugu au jamaa akuwahishe hospitali bana, usingoje hadi ushindwe kuongea.
While we are praying, do the what is necessary.
Pole sana mpendwa. Vile umepata dawa, jumlisha na maombi yetu utapona tu dear..
kweli mkuu. leo ameamkaje? je kashamuona doctor? ni hayo tu. Mia
pole sn, vp ndo upo hospital? Au ushapata ushauri na dawa tayari. Pole sn mwaya, Inshallah utapata afua very soon
Duh! Pole sana...Hatua ya kwanza ya kupona ni ku-believe utapata nafuu...Hivyo amini yatapita hayo.. hatua ya pili..ni hapo kwenye ku-vomit blood..wahi kwa dokta..
pole sana leo unaendeleaje?
pole pole sana cuteface
wahi hospitali haraka....
Hope ushaenda hosptl...
Vipi Doc amesemaje na umepewa dawa gani?
Tumia afu jisikilizie kabla hatujacheki wataalamu zaidi..
Ugua pole sana
Am very sick.I have just spent the whole day on bed.,
My stomach is aching very bad and i gat a severe flue to the extent am vomiting blood!I need your prayers,
Safi sana. Hakikisha huwi mvivi wa kutumia dawa... Mie maombi bado yanaendelea... Jioni ntakupitishia matunda hapo home. Get well soon.ameen dia nishapata dawa
pole sana wahi hospitali za maana kama hujaenda kama upo dar nenda muh2 kuna mabingwa usiende uchochoroni za ghali hawana lolote la maana zaidi ya kukulia hela.
Safi sana. Hakikisha huwi mvivi wa kutumia dawa... Mie maombi bado yanaendelea... Jioni ntakupitishia matunda hapo home. Get well soon.
POle sana, my prayers
Yawezekana ni mdudu wa malaria. Pia yule jamaa ambae alishinda ofa ya kutoka na wewe siku ya mwaka mpya ndo amekuambukiza. mfate uende nae hospitali. Pole Kabanabana