Kama mnakumbuka wapendwa tar 11 june 2012 nilipatwa na msiba wa mama yangu kipenzi mildred moshi....akaniachia kipenzi changu kingine bibi yangu mpendwa luise mneney..nikiwa naamaliza kuoga namlisha saa tatu na nusu majuzi kijiko cha nne wapendwa naona mdomo wa bibi unapinda mara mkono unakosa nguvu nilipompeleka hospital niliambiwa bibi amepata stroke ajaongea ila naamini kwa mapenzi yake mungu atamtoa na maumivu na mateso haya ya dunia .....cont pray for her healing is our portion in jesus name sty blsd n gudnyt
Mkuu shukuru Mungu na Mwenyezzi mungu atampa Tafafifu na uzima karibu. hali alonayo itakuwa Okay yeye ni afadhali kuliko walokuwa ICU.Aijalishi mpendwa una mahusiano gani una urafiki gani una mapenzi gan na bibi yangu najua niko jukwaa kamilifu uhusiano /mapenzi/na urafiki na bibi yangu elekeza sasa kwenye maombi yako na mungu akubariki akapate mponya akuna kama yesu "twayaweza yote katika yeye atutiaye nguvu"""cont prayers for luise mneney..kula puani is not our portion wapendwa tunaitaji kusali kwa pamoja na kuikemea hizi nguvu ...mungu akupe nguvu ya kuomba kwa ajili yake ...amen n amen
Kama mnakumbuka wapendwa tar 11 june 2012 nilipatwa na msiba wa mama yangu kipenzi mildred moshi....akaniachia kipenzi changu kingine bibi yangu mpendwa luise mneney..nikiwa naamaliza kuoga namlisha saa tatu na nusu majuzi kijiko cha nne wapendwa naona mdomo wa bibi unapinda mara mkono unakosa nguvu nilipompeleka hospital niliambiwa bibi amepata stroke ajaongea ila naamini kwa mapenzi yake mungu atamtoa na maumivu na mateso haya ya dunia .....cont pray for her healing is our portion in jesus name sty blsd n gudnyt
Kama mnakumbuka wapendwa tar 11 june 2012 nilipatwa na msiba wa mama yangu kipenzi mildred moshi....akaniachia kipenzi changu kingine bibi yangu mpendwa luise mneney..nikiwa naamaliza kuoga namlisha saa tatu na nusu majuzi kijiko cha nne wapendwa naona mdomo wa bibi unapinda mara mkono unakosa nguvu nilipompeleka hospital niliambiwa bibi amepata stroke ajaongea ila naamini kwa mapenzi yake mungu atamtoa na maumivu na mateso haya ya dunia .....cont pray for her healing is our portion in jesus name sty blsd n gudnyt
Tukiamini yote yanawezekana.....Naomba Mungu amponye bibi... LiverpoolFC njoo tuombe
Ameen!