Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,682
Habari yake binafsi!!!
Asije akawa ni yuleyule kiongozi sijui naibu wa wizara fulani aliyeibiwa bunduki 2 AK 47, dola, shilings, Passports, briefcase et al.
Ma'ke anauzoefu sana wa kuibiwa hapo Moro tena na dadaz poaz.
In serious note NI FUNZO na iwe fundisho kwetu.
Ndo dawa yao.
Kazi kuzizeesha nyuchi zetu tu.
alilitafuta chini ya uvungu!?
Sio vituko asrams, wanaume wamezidi kuzizeesha hazina zetu.Sasa nasi wacha tuwaonyeshe kuwa hatukuja mjini kushangaa maghorofa.Kie kie kie kie umenifanya nicheke kwa nguvu mpaka watu ktk bus wananishangaa! JF kuna vitukoSent from my EyePhone
Habari yake binafsi!!!
hahahaaa....kweli kuachwa kubaya, yani hukubali kabisa.
Ndo dawa yao.
Kazi kuzizeesha nyuchi zetu tu.