twende kazi
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 1,520
- 461
Daaaah..Pole yake.Na hivi intelejensia iko Bar saiv halipati ng'o.
Jamaa hakika pasaka itakuwa chungu leo na ukumbusho kesho na kesho kutwa baada ya kuibiwa gari na changudoa hapa maeneo xa kaumba bar mjini moro.jamaa alikuja peke yake bar,ila kuna madada wanajiuza hivyo aka mchukua m1 ili aburudike nae sasa wakawa wamekaa wana kunywa kwanza.jamaa si akanyanyuka aende chooni huku kalewa chakari.changudoa aka abeba funguo juu ya meza na kusepa na gari.Hapa tulipo jamaa kachanganyikiwa anajisachi mifukoni.
Karibu My X zilipendwa.
haya najua unaenda fanya nini ila wasikukwibe tuI'm planning to pay a visit @ MORO soon!
Arushaone una maneno?!!!Lol!Asije akawa ni yuleyule kiongozi sijui naibu wa wizara fulani aliyeibiwa bunduki 2 AK 47, dola, shilings, Passports, briefcase et al.
Ma'ke anauzoefu sana wa kuibiwa hapo Moro tena na dadaz poaz.
In serious note NI FUNZO na iwe fundisho kwetu.