Prado mpya ime ibwa muda huu na mwanamke kahaba.

Prado mpya ime ibwa muda huu na mwanamke kahaba.

Kwani Katavi huyu jamaa si alishaporwa tena kipindi kile cha bunduki 2 na madolari mengi tu?

Huyu naibu hakomi aisee lol.
Hahahaaah!! Kama ni huyu basi Moro hakumfai inabidi ahamie viwanja vya huko A-town.
 
Hahahaaah!! Kama ni huyu basi Moro hakumfai inabidi ahamie viwanja vya huko A-town.

Nakuhakikishia mzee Katavi huyu akienda R-CHUGGA watamkwiba yeye mwenyewe wakamtoe sadaka Mererani.
 
Last edited by a moderator:
Nakuhakikishia mzee Katavi huyu akienda R-CHUGGA watamkwiba yeye mwenyewe wakamtoe sadaka Mererani.

hahahaaaaah! huko hakumfai basi, nitamtafutia kiwanja huku katavi hakuna vimeo kama moro na arachuga.
 
Last edited by a moderator:
Huko moro kuna nini! make hata Malima naye aliibiwa.
kuna gest kibao na hotel kibao watu wanatoka mikoa ya jirani kulalana hukoni mkoa ambao ikifika ijumaa vyumba vimejaa watu wameweka booking mpaka jmapili jioni kama si usiku
 
Kaka habari ya Chugga....Heri ya Pasaka!!

watu8 kwa habari nilizonazo kule ni wazima kabisa. Niko Republic of Kenya ingawa up TZ nitaenda kule kesho. Mzima weye na uwapendao?
 
Last edited by a moderator:
kuna gest kibao na hotel kibao watu wanatoka mikoa ya jirani kulalana hukoni mkoa ambao ikifika ijumaa vyumba vimejaa watu wameweka booking mpaka jmapili jioni kama si usiku

I'm planning to pay a visit @ MORO soon!
 
Back
Top Bottom