tpaul
Platinum Member
- Feb 3, 2008
- 25,990
- 25,384
Kuna msemo maarufu usemao "NI RAHISI KUPATA KAZI UKIWA NA KAZI" kwani unapoenda kwenye hojaji unakuwa hauna papara wala wasiwasi wowote...unatiririka bila hofu na kujikuta umepata kazi nzuri kuliko uliyo nayo sasa.
Msemo huu unasadifu heading ya uzi huu. Kwanini? Juzi kati nimekuwa nikinyatia mademu fulani wa kishua lakini kila niliyemuendea alinidiss. Si ndipo nikaamua kuzama mitaa ya kati uswahili na kufanikiwa kuibuka na Zai...mtoto mwenye ngozi ya asili isiyokobolewa na kemikali za kisasa...vipodozi vyake mpapai, muavokado, mhardali, binzali, limao, nk. Na chachandu tele kiunoni!
Baada ya kumpata mtoto huyu wa asili ndipo wale mademu wa geti kali walionidiss mwanzo wakaanza kufungua milango. Nami nikawadiss sawia! Nafasi ishajaa...Zai wangu ananitosheleza kwa kila kitu. Asikuambie mtu mademu wa kiswahili wako vizuri sana na wana confidence ya kutisha kunako fani tofauti na madem wa kishua ambao wengi wengi wao ni goigoi mno mazoezini. Nimenogewa jumla...mimi na mademu wa kishua, baasi tena!
:israel: