Demu kapata demu wa uswazi, kuku wa kienyeji mtamu bwana, unakula mpaka mifupa, achana na hio mikuku ya kizungu uki i overcook inakuwa ndembendembe, inapendeza tu ikiwa bandani lakini ukiiweka mezani hovyo kabisa.
Niliwahi kuangalia movie fulani inaitwa "Deliver us from Eva", kuna kitu aliongea LL cool J mule, alisema "Hakuna mwanamke anayemtaka mwanaume ambaye mwanamke mwingine hamtaki".
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.