Pr. Muhongo bado wewe.

Pr. Muhongo bado wewe.

Karibuni

New Member
Joined
Jan 13, 2013
Posts
4
Reaction score
0
Baada ya Dk, Mwakyembe kufukuza watumishi wa bandari waliokuwa wanaleta hujuma kwa taifa letu sasa imebaki zamu ya Pr, Muhongo waziri wa Nishati na madini kwani kati ya wizara zenye madudu mengi ni hii. Hususani katika chuo cha madini ndio chuo pekee Africa Mashariki chenye waalimu wengi wasio na sifa ingawaje sio wote ila asilimia kubwa ya hao ni mambulula kabisa, wanaenda kusoma nje na kuharibu hela ya serikali bila matunda yoyote.


Kibwetere Maji, Tukuyu.
 
Back
Top Bottom