KISHINDO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 2,202
- 1,957
Habari zenu wana jukwaa!
Naombeni msaada jamani: nilienda PPF Kinondoni Zone kuuliza salio langu, wakanambia network hawana hivyo wakanipatia karatasi yenye maelekezo ya kuandika kama ifuatavyo:
MICHANGO!
Tuma neno ''Michango'' acha nafasi ''Namba yako ya uanachama'', Tuma kwenda namba 15553. (piga)
Nikafuatilia hayo maelekezo then nikatuma.
Baada ya kutuma nikaletewa sms ifuatayo:
Neno la kwanza limekosewa. Tafadhali tuma neno 'michango' au 'dai' ikifatiwa na namba ya uanachama. Au tuma neno 'pensheni' ikifatiwa na pensheni namba. PPF
Nikatuma tena kulingana na maelekezo ya hiyo sms, nikatumiwa tena sms hiyo hiyo. Wanakata sh.150 mara mbili ni sh. 300.
Naombeni mnisaidie kwani nahisi kuna kawizi fulani kanafanywa na hawa ppf. May be nawe ulishaibiwa hivi hivi. Au mnisaidie kama nakosea. Ahsanteni